Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

Hii game ilianza ukakasi tangu huyo refa alichaguliwa yeye kuchezesha na kazi yake ilikuwa ni moja tu, yaani kuwatoa mchezoni wachezaji wa Yanga
Simba amenyimwa penati ,,,,mkoko kacheza makusudi labda tusema mkoko alikula mlungula ili apate red kad
 
Hapo simba alinyimwa penat mbili
Sawa wazee wa maelekezo na makandokando ndo ushindi wenu ulipo, ukitaka uone hilo Derby ya Dar Bocco alifanya madhambi ya redcard ila alikaushiwa, mpira ni mchezo wa contact, straight red card Final game maaana yake unaimaliza game mapema kabisa
 
Simba amenyimwa penati ,,,,mkoko kacheza makusudi labda tusema mkuku alikula mlungula ili apate red kad
Mpira mchezo wa contact mkuu, huwezi toa adhabu ya redcard Mapema vile tena Final game, kama sio maelekezo na makandokando ni nini?
 
Najua hamuamini hili refa anaingia uwanjan na redkadi yenu kapewa maagizo wapi sijui


Ushauri

1) Wachezaji mjitahidi sana kushinda magoli mengi kipindi cha kwanza


2) Wachezaji mjitume dakika zote tisini mkijua hamchezi na wenzenu 11

3) Kama kuna mechi kucheza kwa nidhamu zote n kesho mnapambana si na.Simba tu..


4) Msiwe na hofu na uwoga hata atakapotolewa mmoja wa wachezaji wenu hii ktk kuwaondoa mchezoni


5) Mwisho mtangulizen Mungu ndie muweza yote
Aisee limetokea
 
Red card imeharibu radha ya mchezo na ushindi kwa ndugu zetu.
 
Hongereni simba kwa kuimaliza game mapema sana kwa kupitia maelekezo kwa Referee coz mlijua kabisa bila redcard leo Hamuwezi kushinda kama sio Mukoko ilikuwa lazima itoke kwa mchezaji yeyote yule
 
Redcard halali kabisa tusiwasikie et Simba kabebwa tulieni tu.
Mlivyotuotea na kigoli cha kubabatiza hatukulalamika japo tulinyimwa tuta kama mbili muwe wapole dawa iwaingie..
 
Boko aliingia vibaya sawa lakini hiyo sio faulo la kupewa red card boko labda kama unazungumzia gemu ya kwanza ile nakubaliana na wewe ila sio hii ya leo. Alichokifanya Mukoko sio uungwana kabisa
Alichokifanya Onyango kumpush yule dogo wakati refa kishaweka faulo, tunakiitaje?
 
Mukoko amepokea milioni 10 kwa Simba SC, ni mpuuzi inabidi achunguzwe zaidi. Haiwezekani mchezaji professional ufanye ujinga kama ule.
 
Back
Top Bottom