Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Mukoko amepokea milioni 10 kwa Simba SC, ni mpuuzi inabidi achunguzwe zaidi. Haiwezekani mchezaji professional ufanye ujinga kama ule.
Inatia shaka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mukoko amepokea milioni 10 kwa Simba SC, ni mpuuzi inabidi achunguzwe zaidi. Haiwezekani mchezaji professional ufanye ujinga kama ule.
Sasa hilo tukio hata kadi ya njano hakupewaAlichokifanya Onyango kumpush yule dogo wakati refa kishaweka faulo, tunakiitaje?
Sasa kwann hakutoa red card kwa Onyango, hayo ni maelekezo brooHuu ni udhaifu wa REFA, hii nayo ni red card lakini haiondoi uhalali wa redcard ya Mukoko.
Sana aisee,Inatia shaka sana
Poleni sana, ila ukumbuke tulishawagonga 4-1 mkiwa kamili uwanjani, hii maana yake Yanga kufungwa na Simba SC bao nyingi ni kawaida.Hongereni simba kwa kuimaliza game mapema sana kwa kupitia maelekezo kwa Referee coz mlijua kabisa bila redcard leo Hamuwezi kushinda kama sio Mukoko ilikuwa lazima itoke kwa mchezaji yeyote yule
We umesema tukio sio la kiungwana kapewa nyekundu je lile tuliiteje manake matukio ambayo siyo ya kiungwana unakula red, je lile linaitwaje......... manake refa alishatoa maamuzi faulo.Sasa hilo tukio hata kadi ya njano hakupewa
Ndio ukweli wenyewe huo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maneno ya mkosaji hayo.
Nandio ishatokea kwa mkoko na nihalali kabsaHongereni simba kwa kuimaliza game mapema sana kwa kupitia maelekezo kwa Referee coz mlijua kabisa bila redcard leo Hamuwezi kushinda kama sio Mukoko ilikuwa lazima itoke kwa mchezaji yeyote yule
Sijaikataa ila nashukuru japo ww uneona udhaifu wa refa.Huu ni udhaifu wa REFA, hii nayo ni red card lakini haiondoi uhalali wa redcard ya Mukoko.
Alipewa njanoSasa hilo tukio hata kadi ya njano hakupewa
Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa😂😂😂 pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!We umesema tukio sio la kiungwana kapewa nyekundu je lile tuliiteje manake matukio ambayo siyo ya kiungwana unakula red, je lile linaitwaje......... manake refa alishatoa maamuzi faulo.
Pale kibilizi kesho shuhuli nimoja tu kuwanyoa shabiki wa yanga upara..nawale wajomba wanakunyoa nusu, nusu ukamaliziwe na mkeo😂Utopolo wanalishwa kekundu
View attachment 1867811
Ishu ya Onyango uliona ni nani aliyeamza kusukuma mwenzake lakini mkuuHuu ni udhaifu wa REFA, hii nayo ni red card lakini haiondoi uhalali wa redcard ya Mukoko.
Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa😂😂😂 pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!Poleni sana, ila ukumbuke tulishawagonga 4-1 mkiwa kamili uwanjani, hii maana yake Yanga kufungwa na Simba SC bao nyingi ni kawaida.
Msalimie Manara.
Au sio, Refa akaamua kukaushia hahahahaIshu ya Onyango uliona ni nani aliyeamza kusukuma mwenzake lakini mkuu
Pale Yacouba ndio alianza kumsukuma karibu mara mbili Miquissone, Onyango ndio akakasirika akaenda kumsukuma Yacouba, na referee ameviona vitendo vyote ndio maana akaamua kukaushia tu
Tatizo wachezaji wa yanga wana viwiko vikubwa mnoIli uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa😂😂😂 pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!
Ww mm huwa siongei na Mapunga kama ww, katafute Mapunga wenzakoTatizo wachezaji wa yanga wana viwiko vikubwa mno