Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

Karudie kuangalia hilo tukio acha kuongea kishabiki. Yaani kutetea kitendo cha Onyango na mwamuzi alivyojikausha inaonesha ushabiki uliopitiliza.
 
Kaangalie Fainal ya Al Ahly vs Kaizer Chiefs

Fainali haikupi advantage ya kufanya vitendo viovu uwanjani

Mukoko amekosea na alistahili Redcard hyo haina mjadala.
 
Ww sio riziki
Njovile mkuu hiyo ndio yanga tunayo ijua sisi kwenye upande wakusaka ubigwa ni hamna kitu ila kwenye kipindi cha usajili na kushobokea migogoro ya simba ni wazuri sana hapa wanavuna walicho panda
 
To be honest mikia wote mnajua ile kadi ndio salama yenu,mukoko nae ni binadamu kama mlifuatilia toka ile match ya awali unaona kabisa boco anamchezea mukoko kwa maelekezo amuumize,game ya july 3 boco,wawa na lwanga ni maajabu tu ya waamuzi wa tff wale jamaa kumaliza ile match bila card,na hata leo game plan ya mikia ilikua kuwaumiza yacouba na mukoko,kama utaangalia vizuri boco kampiga kifuti cha maksudi mukoko,ndicho kilichafanya mukoko kupanic hadi kureact vile,tukutane kagame tukuta kwenye ngao
 
Unajitekenya tu. Mukoko katolewa kwenye dakika ya 40 huko. Mlishindwa nini kufunga kabla hajatoka?! Na usisahau Simba iloshawahi kucheza pungufu na ikawadunda! Na Simba ilishawahi kupata red mechi za uto mfululizo lakini haikupoteza. Kwanza michezaji yenu leo iliingia kufanya vurugu tu, badala ya kucheza mpira. Kwahiyo acha kulialia. Tulia dawa ikuingie vizuri.
 
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
 
Njovile mkuu hiyo ndio yanga tunayo ijua sisi kwenye upande wakusaka ubigwa ni hamna kitu ila kwenye kipindi cha usajili na kushobokea migogoro ya simba ni wazuri sana hapa wanavuna walicho panda
Maneno ya alieshiba, anasahau kama baadae atakuwa na njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…