Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

Hahahahhaa alafu kumbe na mishahara wanakopa eti
Viongozi wao ni wababaishaji na ndio maana hata mkataba na sportpesa waliingia mkenge kwa kulambishwa 880m kwa mwaka wakati wenzao yanga wamekomaa wakavuta 950m/annual
 
Sometimes tuwe tunajifunza kutumia ' akili ' kidogo kuliko kuchangia halafu mbele ya Great Thinkers waliotukuka ukajikuta unaonekana ni wa ' hovyo hovyo ' Hata kama FIFA ikiirudishia Simba SC ambayo pia ni Timu ninayoishabikia bado Simba SC haina uwezo wa kuwa ' Bingwa '. Tusilazimishe mambo na Simba SC sasa tuachane na points 3 za ' mezani ' na badala yake tuweke nguvu zetu sasa katika ' kunyakua ' ubingwa wa FA / ASFC ili nasi mwakani ' tushiriki ' Shirikisho hatua ambayo naona kwa jinsi Simba SC tulivyohangaika si mahala pabaya kwa kuanzia kisha tujipange sasa vizuri kwa msimu ujao tuwe Mabingwa wa halali na haki.
Mkuu GENTAMYCINE lazima tuseme ukweli viongozi wa simba walio madarakani kwa sasa ni wababaishaji,wao wameonyeshwa mkataba wa 880m/annual wakakimbilia kusaini tu wakati wenzao yanga waliweka ngumu hadi jamaa wakalegea na kuongeza dau hadi 950m/annual
 
Hawana lolote kama wamecheza mechi ya toto jana kwa kuwapa mauchawi lkn still wakapigwa
3c6b271d523872d23699a7a26e920ca1.jpg
 
kwanza rufaa imekatwa? au wanakatia mdomoni kama kawaida yao.
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA
b5c30a5fd3d3b1e499fcc8ba2cd13b8a.jpg
 
Tunamfunga mbao 2 bila ,ili hata mkija na point za fifa bado mtalia sana.
 
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA
b5c30a5fd3d3b1e499fcc8ba2cd13b8a.jpg
Kwann mnapenda point za mezani je mpira mmeshindwa kucheza uwanjani?muwe na aibu
 
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA
b5c30a5fd3d3b1e499fcc8ba2cd13b8a.jpg
SAWA LAKINI MKAE MKIJUA MNAMPPONZA MBAO FC ILI ALE KICHAPO CHA KUFA MTU ILI FIFA WAKILETA POINT ZENU TATU IWE BADO ZINABEMBEA
 
Back
Top Bottom