Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

Jamaaa hawa viongozi wa simba walitaka kumdhulumu huyu Hans pope mtonyo wa Sport pesa
 
Simba tuko makin sana zaid ya Messi awapo uwanjani......
Mkifunua tu kidogo sketi sie twasuza rungu.
 
Simba kutoka kuongoza kwa point nane,kutoka kuitwa mwendo kasi,hadi kuja kusubiria point kama moshi mweupe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kuwakata pumzi tunampiga Mbao alafu mje na hizo 3 pts za mezani tuone,Simba mmekamatika hakika.
Mpira wacheze Kagera na tena walifungwa, then point 3 wazifate USWIZI.
Simba kweli wamechacha
 
mimi simba damu ila yanga bingwa tena msimu huu tuache kuandamana tujipange msimu ujao
kama kweli tungekuwa na uchungu tungeshinda uwanjani sio mezani
 
  • Thanks
Reactions: SDG
IMG-20170519-WA0006.jpg
 
Wana msimbazi wenzangu tukubali yaishe tuangalie tulipo jikwaa.kiukweli timu yetu inawachezaji wazuri ila wachezaji hawajitambui uwanjani hawana ali yoyote yaushndi yani ata hapo tulipofika mungu kasaidia.
 
sema ule ukweli Liverpool naifananisha na arsenal hazinaga makali kihivyo ila ni maarufu sana.
Next year Liverpool tunacheza UEFA, tutakuwa na nafasi ya ku-attract wachezaji wazuri na probably EPL itakuwa yetu msimu ujao.
 
sema ule ukweli Liverpool naifananisha na arsenal hazinaga makali kihivyo ila ni maarufu sana.

Arsenal siyo ya kuilinganisha na Liverpool wewe, tungekuwa na kikosi alichonacho Arsenal chini ya Klop ubingwa tungetangaza mapema sana.
 
tatizo nyie ni vilaza fc Kwani Fifa INA ugomvi na Yanga hata mkipewa 3 bado tunawapita
 
SIMBA NGUVU MOJA NA UBINGWA UNATUHUSU
 
Back
Top Bottom