Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wanachoweza ni kuandamanaKwan simba akipewa point 3 anaweza kushinda magoli 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanachoweza ni kuandamanaKwan simba akipewa point 3 anaweza kushinda magoli 10
Hahahahhaa alafu kumbe na mishahara wanakopa etiWanachoweza ni kuandamana
Kateuliwa manara kwenda kuwakilisha hiyo rufaa fifaNdo wako Misugusugu wanaenda kwa miguu....
Viongozi wao ni wababaishaji na ndio maana hata mkataba na sportpesa waliingia mkenge kwa kulambishwa 880m kwa mwaka wakati wenzao yanga wamekomaa wakavuta 950m/annualHahahahhaa alafu kumbe na mishahara wanakopa eti
Hivi manara yupo aje atuambie kuhusu clip yake aliyo ahidi baada ya miezi 4 simba bingwaViongozi wao ni wababaishaji na ndio maana hata mkataba na sportpesa waliingia mkenge kwa kulambishwa 880m kwa mwaka wakati wenzao yanga wamekomaa wakavuta 950m/annual
Mkuu GENTAMYCINE lazima tuseme ukweli viongozi wa simba walio madarakani kwa sasa ni wababaishaji,wao wameonyeshwa mkataba wa 880m/annual wakakimbilia kusaini tu wakati wenzao yanga waliweka ngumu hadi jamaa wakalegea na kuongeza dau hadi 950m/annualSometimes tuwe tunajifunza kutumia ' akili ' kidogo kuliko kuchangia halafu mbele ya Great Thinkers waliotukuka ukajikuta unaonekana ni wa ' hovyo hovyo ' Hata kama FIFA ikiirudishia Simba SC ambayo pia ni Timu ninayoishabikia bado Simba SC haina uwezo wa kuwa ' Bingwa '. Tusilazimishe mambo na Simba SC sasa tuachane na points 3 za ' mezani ' na badala yake tuweke nguvu zetu sasa katika ' kunyakua ' ubingwa wa FA / ASFC ili nasi mwakani ' tushiriki ' Shirikisho hatua ambayo naona kwa jinsi Simba SC tulivyohangaika si mahala pabaya kwa kuanzia kisha tujipange sasa vizuri kwa msimu ujao tuwe Mabingwa wa halali na haki.
Ukimuona au kukupatia jibu ni pmHivi manara yupo aje atuambie kuhusu clip yake aliyo ahidi baada ya miezi 4 simba bingwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimuona au kukupatia jibu ni pm
Angelikuepo jero ilikua poa sanaUkimuona au kukupatia jibu ni pm
Hawana lolote kama wamecheza mechi ya toto jana kwa kuwapa mauchawi lkn still wakapigwa
Hiyo ni kazi ya kamati ya ufundi ya simba kuhakikisha Toto inaifunga yanga jana
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA![]()
Tunamfunga mbao 2 bila ,ili hata mkija na point za fifa bado mtalia sana.Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA![]()
Kwann mnapenda point za mezani je mpira mmeshindwa kucheza uwanjani?muwe na aibuLeo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA![]()
SAWA LAKINI MKAE MKIJUA MNAMPPONZA MBAO FC ILI ALE KICHAPO CHA KUFA MTU ILI FIFA WAKILETA POINT ZENU TATU IWE BADO ZINABEMBEALeo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA![]()
ha haaa...........Wakitoka FIFA waende UN, ikishindikana kabisa maandamano ya amani