Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

Hahahahhaa alafu kumbe na mishahara wanakopa eti
Viongozi wao ni wababaishaji na ndio maana hata mkataba na sportpesa waliingia mkenge kwa kulambishwa 880m kwa mwaka wakati wenzao yanga wamekomaa wakavuta 950m/annual
 
Mkuu GENTAMYCINE lazima tuseme ukweli viongozi wa simba walio madarakani kwa sasa ni wababaishaji,wao wameonyeshwa mkataba wa 880m/annual wakakimbilia kusaini tu wakati wenzao yanga waliweka ngumu hadi jamaa wakalegea na kuongeza dau hadi 950m/annual
 
kwanza rufaa imekatwa? au wanakatia mdomoni kama kawaida yao.
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA
 
Tunamfunga mbao 2 bila ,ili hata mkija na point za fifa bado mtalia sana.
 
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA
Kwann mnapenda point za mezani je mpira mmeshindwa kucheza uwanjani?muwe na aibu
 
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA
SAWA LAKINI MKAE MKIJUA MNAMPPONZA MBAO FC ILI ALE KICHAPO CHA KUFA MTU ILI FIFA WAKILETA POINT ZENU TATU IWE BADO ZINABEMBEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…