Mkali Mapanga
Senior Member
- May 17, 2017
- 100
- 66
Tunapiga 7+3fifa point???
Wakitoka FIFA waende UN, ikishindikana kabisa maandamano ya amani
Mkuu GENTAMYCINE lazima tuseme ukweli viongozi wa simba walio madarakani kwa sasa ni wababaishaji,wao wameonyeshwa mkataba wa 880m/annual wakakimbilia kusaini tu wakati wenzao yanga waliweka ngumu hadi jamaa wakalegea na kuongeza dau hadi 950m/annual
Walikuwa sahihi kabisaWewe unadhani akina ' Alhaji ' Ismail Aden Rage alipotuambia sisi ni ' Mambumbumbu ' na Hassan Hassanoo aliposema tuna akili kama za ' Mabaamedi ' walikosea Mkuu?
HII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017Ngoja sisi tujibebe ndoo yetu kwa matokeo ya uwanjani, Nyinyi endeleeni kusubiri hayo matokeo ya mezani.
Pia waiombe fifa ije ismamie ligi kuu tanzania bara ili wawe wanapewa point za mezani.ha haaa...........
Yanga imepata ml 950 wakat simba imepata 880 ss sjui ulikuwa na maana ipiHII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017
Simba wanachukua Kombe la FA kama Ambavyo Yanga Wamechukua Kombe La Ligi,
Simba Itawakilisha Tanzania Michuano ya Africa Kama Ambavyo Yanga Itawakilisha
Simba Imeifunga Yanga Kwenye Ligi kuu, Pia Simba Imeifunga Yanga Kwenye Kombe La mapinduzi Kule Zanzibar, Wakati Yanga Haikuweza Kuifunga Simba Mwaka Huu,,
Simba Inakwenda Kupata Milion 90, Milion 40 ligi kuu, Na Milion 50 Kombe La FA wakati Yanga Wanakwenda Kupata Milion 80 tu ya Ligi kuu,,
HAKIKA HII NDIYO SIMBA NGUVU MOJA
Na zire za police alo pewa simba je ilikuwa sheria auSwali hapa sio simba kudai points no tunataka SHERIA /taratibu/ na kanuni zake zisimamiwe kihakia .sio mpaka watu walalamike ndio wasikilizwe au wapiluuzwe