Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

Ha ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaa aha ha haaha ha uuuuuuuuuuwiiiiiiiiii nacheka kwa dharau[emoji57] [emoji57] [emoji57] thimba buanaaaaaaaa!!!!!
 
Wakitoka FIFA waende UN, ikishindikana kabisa maandamano ya amani

Na wakishindwa maandamano waende kwa kiduku wa NK, kwa ubabe wake anaweza fanya kitu.
Ila timu yetu nayo inatia aibu, kama ni rufaa tulikuwa na muda mzuri wa dakika 90 wa kukata rufaa pamoja na dk 4 za nyongeza. Anyways, nilimmind Rage alipoita mbumbumbu, ila now naona jinsi tunavyonata na beats za viongozi wetu kama inareflect ya Rage.
 
Yanga tuna shinda na Mechi ya Mbao FC..hata hao FIFA wakiwapa POINT 3 za KAGERA FC tunalinga POINT....Goal difference ya 13 mtazitoa wapi????

YANGA BINGWAAAA.....
Tokea motokeo ya Toto Haji Manara katulia tuliiii hata barua ya FIFA kachana.
 
Mkuu GENTAMYCINE lazima tuseme ukweli viongozi wa simba walio madarakani kwa sasa ni wababaishaji,wao wameonyeshwa mkataba wa 880m/annual wakakimbilia kusaini tu wakati wenzao yanga waliweka ngumu hadi jamaa wakalegea na kuongeza dau hadi 950m/annual

Wewe unadhani akina ' Alhaji ' Ismail Aden Rage alipotuambia sisi ni ' Mambumbumbu ' na Hassan Hassanoo aliposema tuna akili kama za ' Mabaamedi ' walikosea Mkuu?
 
Ngoja sisi tujibebe ndoo yetu kwa matokeo ya uwanjani, Nyinyi endeleeni kusubiri hayo matokeo ya mezani.
HII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017

Simba wanachukua Kombe la FA kama Ambavyo Yanga Wamechukua Kombe La Ligi,

Simba Itawakilisha Tanzania Michuano ya Africa Kama Ambavyo Yanga Itawakilisha

Simba Imeifunga Yanga Kwenye Ligi kuu, Pia Simba Imeifunga Yanga Kwenye Kombe La mapinduzi Kule Zanzibar, Wakati Yanga Haikuweza Kuifunga Simba Mwaka Huu,,

Simba Inakwenda Kupata Milion 90, Milion 40 ligi kuu, Na Milion 50 Kombe La FA wakati Yanga Wanakwenda Kupata Milion 80 tu ya Ligi kuu,,

HAKIKA HII NDIYO SIMBA NGUVU MOJA
 
Swali hapa sio simba kudai points no tunataka SHERIA /taratibu/ na kanuni zake zisimamiwe kihakia .sio mpaka watu walalamike ndio wasikilizwe au wapiluuzwe
 
14dc9bf9999bd23d16ff4964d076cbb2.jpg

Huyu ndugu hajarudi na pointi bado toka FIFA.?
 
Kwahiyo hata kama YANGA akishinda na game ya MBAO???
 
HII NDIYO SIMBA SPORTS CLUB HAKIKA IMETUFURAHISHA MASHABIKI WENU 2016 / 2017

Simba wanachukua Kombe la FA kama Ambavyo Yanga Wamechukua Kombe La Ligi,

Simba Itawakilisha Tanzania Michuano ya Africa Kama Ambavyo Yanga Itawakilisha

Simba Imeifunga Yanga Kwenye Ligi kuu, Pia Simba Imeifunga Yanga Kwenye Kombe La mapinduzi Kule Zanzibar, Wakati Yanga Haikuweza Kuifunga Simba Mwaka Huu,,

Simba Inakwenda Kupata Milion 90, Milion 40 ligi kuu, Na Milion 50 Kombe La FA wakati Yanga Wanakwenda Kupata Milion 80 tu ya Ligi kuu,,

HAKIKA HII NDIYO SIMBA NGUVU MOJA
Yanga imepata ml 950 wakat simba imepata 880 ss sjui ulikuwa na maana ipi
 
Back
Top Bottom