Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

Sasa Aveva kama anataka kuwatendea haki simba ndio wakati muafaka wakupinga ubingwa wa yanga FIFA.
 
Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
 
Sasa wew ulitaka mashabiki waingie wakacheze au
Munakuwa mda mwingine na nyie hamna akili aliyesema Zakaria wew unaanza kusema mashabiki ulisikia wameita press conferences wakasema mashabiki tunaenda FIFA
au
 
Sasa Aveva kama anataka kuwatendea haki simba ndio wakati muafaka wakupinga ubingwa wa yanga FIFA.
Ukiwa na shabiki mbumbumbu kama wewe ni kula bata tu bila juhudi zozote halafu unazusha tu unamuachia anafuata upepo, kalieni umbumbumbu huu huu mpaka mfungwe na Mbao FA hlf mkimbilie FIFA tena kwa mapingamizi
 
Ngoja kesho tumshushe daraja mbao halafu tuone point za mezani zitafanya nini


SAWA LAKINI MKAE MKIJUA MNAMPPONZA MBAO FC ILI ALE KICHAPO CHA KUFA MTU ILI FIFA WAKILETA POINT ZENU TATU IWE BADO ZINABEMBEA


Tunamfunga mbao 2 bila ,ili hata mkija na point za fifa bado mtalia sana.


Sawa mtapewa point 3 na magori 2 na mshinde stand magori 2 mtakuwa na point 71 na yanga atampiga mbao gori 1 atakuwa na point 71 na lundo la magori ya kufunga tuone mshindi ni yupi


Mwanzoni alijaribu kuficha aibu ya kushindwa kutwaa kombe aliloahidi kwa kiinimacho cha kujiuzulu. Sasa amekuja na kiinimacho cha FIFA. Atakuja na kiinimacho gani sijui baada ya Mbao kufungwa hiyo 20.05.2017, cha UN?

[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kuwakata pumzi tunampiga Mbao alafu mje na hizo 3 pts za mezani tuone,Simba mmekamatika hakika.

Hongereni kwa ushindi wenu wa kusadikika dhidi ya Mbao..... Naona munachekea ubingwa wenu muliopewa na Malinzi........
 
Hongereni kwa ushindi wenu wa kusadikika dhidi ya Mbao..... Naona munachekea ubingwa wenu muliopewa na Malinzi........
Asante, lakini ubingwa tumeupata viwanjani, nyie wenzetu mnatapatapa na point hewa za kagera, jipangeni upya kwa mwakani
 
Ngoja kesho tumshushe daraja mbao halafu tuone point za mezani zitafanya nini
Vipi Jana mlifanikiwa kumshusha Daraja Mbao? [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnawaza uchawi tu
 
Maandamano FC
Matopeni FC
Kususa FC
Mezani FC

Kama kawaida watamfukuza Omog. Wasajili na baadae watafute kocha
 
Hongereni kwa ushindi wenu wa kusadikika dhidi ya Mbao..... Naona munachekea ubingwa wenu muliopewa na Malinzi........
1. Ndiyo Yanga walipoteza dhidi ya Mbao. Ila yale yalikuwa ni mapambano (battle), kwa kuwa wameshinda ubingwa ambao ndio vita (war) yenyewe hasa, maana yake ni kuwa kwa ujumla wake hata Mbao wameshindwa na Yanga.
2. Utahesabuje ushindi dhidi ya Kagera ambao ndio unaulalamikia dhidi ya TFF, iwapo hata Kocha wenu hawezi kuuweka kwenye Orodha ya Mechi alizoshinda?
3. Yanga wamepewa ubingwa na Malinzi ndiyo. Je, Simba wangekuwa/wakiwa bingwa kwa pointi hizo 3 za Kagera, ni sahihi kusema imepewa ubingwa na Kaburu (wa Kamati ya saa 72/FIFA?
 
Mkae mkao wa kinuna najua habari hamuitaki ni mbaya kwenu.
 
Akili za watu wa Simba ni sawa na akili za Maalim Seif
 
Kama Simba wanapoteza muda, Yanga wanaingia hofu ya nini? Sikutegemea kuona comments za wana-Yanga humu. Wanatakiwa wawe wanasherehekea ubingwa muda huu
 
Viongozi wa Simba wanajua mbinu za kutuliza hasira za mashabiki wao.
Njia nyepesi ni blame shift. Wanahamishia lawama ya makosa yao kwa wengine. Mchawi ni TFF! Kuna kipindi waliongoza ligi kwa point 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…