Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli yako inabaki hivyo hadi sasa?tatizo nyie ni vilaza fc Kwani Fifa INA ugomvi na Yanga hata mkipewa 3 bado tunawapita
Ukiwa na shabiki mbumbumbu kama wewe ni kula bata tu bila juhudi zozote halafu unazusha tu unamuachia anafuata upepo, kalieni umbumbumbu huu huu mpaka mfungwe na Mbao FA hlf mkimbilie FIFA tena kwa mapingamiziSasa Aveva kama anataka kuwatendea haki simba ndio wakati muafaka wakupinga ubingwa wa yanga FIFA.
Ngoja kesho tumshushe daraja mbao halafu tuone point za mezani zitafanya nini
SAWA LAKINI MKAE MKIJUA MNAMPPONZA MBAO FC ILI ALE KICHAPO CHA KUFA MTU ILI FIFA WAKILETA POINT ZENU TATU IWE BADO ZINABEMBEA
Tunamfunga mbao 2 bila ,ili hata mkija na point za fifa bado mtalia sana.
Sawa mtapewa point 3 na magori 2 na mshinde stand magori 2 mtakuwa na point 71 na yanga atampiga mbao gori 1 atakuwa na point 71 na lundo la magori ya kufunga tuone mshindi ni yupi
Mwanzoni alijaribu kuficha aibu ya kushindwa kutwaa kombe aliloahidi kwa kiinimacho cha kujiuzulu. Sasa amekuja na kiinimacho cha FIFA. Atakuja na kiinimacho gani sijui baada ya Mbao kufungwa hiyo 20.05.2017, cha UN?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kuwakata pumzi tunampiga Mbao alafu mje na hizo 3 pts za mezani tuone,Simba mmekamatika hakika.
Asante, lakini ubingwa tumeupata viwanjani, nyie wenzetu mnatapatapa na point hewa za kagera, jipangeni upya kwa mwakaniHongereni kwa ushindi wenu wa kusadikika dhidi ya Mbao..... Naona munachekea ubingwa wenu muliopewa na Malinzi........
Vipi Jana mlifanikiwa kumshusha Daraja Mbao? [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnawaza uchawi tuNgoja kesho tumshushe daraja mbao halafu tuone point za mezani zitafanya nini
Tulifanikiwa kuchukua ubingwa tu....Vipi Jana mlifanikiwa kumshusha Daraja Mbao? [emoji1] [emoji1] [emoji1] mnawaza uchawi tu
We umewazidi point ngap?Ivi timu kubwa kama Simba inagombania point Tatu za mezan hii inatuonesha kua hawana namna nyengine ya kutwaa ubingwa zaidi ya kusubiri FIFA
1. Ndiyo Yanga walipoteza dhidi ya Mbao. Ila yale yalikuwa ni mapambano (battle), kwa kuwa wameshinda ubingwa ambao ndio vita (war) yenyewe hasa, maana yake ni kuwa kwa ujumla wake hata Mbao wameshindwa na Yanga.Hongereni kwa ushindi wenu wa kusadikika dhidi ya Mbao..... Naona munachekea ubingwa wenu muliopewa na Malinzi........
Kama ambavyo Yanga imemfukuza Pluijm na kumleta LwandaminaKama kawaida watamfukuza Omog. Wasajili na baadae watafute kocha
Mkuu, hapo umeua kabisa!Akili za watu wa Simba ni sawa na akili za Maalim Seif