Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Hyo kesho wanatamani hata isifikeWameniangusha kweli sasa hivi hawana Kauli Mbiu
Haji anawaangusha wenzake aje na kitu cha maana. Kauli mbiu moja matata mpaka Waarabu waogopeHyo kesho wanatamani hata isifike
Wanadhani kutofuzu Club bingwa kulisababishwa na kauli mbiuWameniangusha kweli sasa hivi hawana Kauli Mbiu
Hakuna kauli mbiu iliyoanzishwa na Manara tangu kahamia yanga afu ikawa na impactHaji anawaangusha wenzake aje na kitu cha maana. Kauli mbiu moja matata mpaka Waarabu waogope
Jina la Manara si alishalikataaga akalilia jina la Ashura Cheupe..........!Hakuna kauli mbiu iliyoanzishwa na Manara tangu kahamia yanga afu ikawa na impact
"Return of champion" walikufa nje ndani
"Iwe mvua iwe jua" waka draw
"Ujanja ni kuchanja" ????
Sasa hivi wanaongea mpira Zaidi kuliko ule Ujinga waliokua wanaongea kuhusu Al Hilal. Walijiamisha sana ile game wakajiona wao boraWanadhani kutofuzu Club bingwa kulisababishwa na kauli mbiu
Now Ally Kamwe namuona mnyonge sana anaogopa kutoka kifua mbele kwa maneno ya kishujaa yqsije kumkuta ya Al hilal
Ukichanja tketi bureHakuna kauli mbiu iliyoanzishwa na Manara tangu kahamia yanga afu ikawa na impact
"Return of champion" walikufa nje ndani
"Iwe mvua iwe jua" waka draw
"Ujanja ni kuchanja" ????
Lakini wanaongea mpira kama backup tu ili ikitokea wanwfungwa tusiwabane kwenye kauli zaoSasa hivi wanaongea mpira Zaidi kuliko ule Ujinga waliokua wanaongea kuhusu Al Hilal. Walijiamisha sana ile game wakajiona wao bora
Hiyo ndio slogan ya msimu huu baada ya zile mbili kuwa na matokeo mabayaUkichanja tketi bure
Huu sio Utanzania.Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho.
Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong ,bajaji,boda ,bolt
Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away
Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga Ni mazito.
Afu naskia hzi mechi Manara hua anabeti afu anawaua Yanga
MAKOLO bana!hili jina kweli linawafaa huku nikiongezea lile la mbumbumbu!Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho.
Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong ,bajaji,boda ,bolt
Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away
Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga Ni mazito.
Afu naskia hzi mechi Manara hua anabeti afu anawaua Yanga
Simba kumenoga... ila ako kamalaya hatukataki tena...Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga Ni mazito.