Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

Mzee Shirimaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
1,539
Reaction score
3,456
Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho.

Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong , bajaji, boda, bolt.

Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away.

Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga ni mazito.

Afu naskia hizi mechi Manara huwa anabeti afu anawaua Yanga
 
Wanadhani kutofuzu Club bingwa kulisababishwa na kauli mbiu

Now Ally Kamwe namuona mnyonge sana anaogopa kutoka kifua mbele kwa maneno ya kishujaa yqsije kumkuta ya Al hilal
Sasa hivi wanaongea mpira Zaidi kuliko ule Ujinga waliokua wanaongea kuhusu Al Hilal. Walijiamisha sana ile game wakajiona wao bora
 
Sasa hivi wanaongea mpira Zaidi kuliko ule Ujinga waliokua wanaongea kuhusu Al Hilal. Walijiamisha sana ile game wakajiona wao bora
Lakini wanaongea mpira kama backup tu ili ikitokea wanwfungwa tusiwabane kwenye kauli zao

Ila wakishinda utawasikia maneno yao ambayo waliyahifadhi kabla ya match kuhofia kupata matokeo tofauti na matarajio yao
 
Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho.

Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong ,bajaji,boda ,bolt

Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away

Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga Ni mazito.

Afu naskia hzi mechi Manara hua anabeti afu anawaua Yanga
Huu sio Utanzania.
 
MAKOLO bana!hili jina kweli linawafaa huku nikiongezea lile la mbumbumbu!
 
Nimepita magomeni nimekuta wazee wa uto wameinama (yani matokeo ya game za hizi team yanakuaga na taswira kwenye vijiwe na matawi yao)
 
Utopolo wanatamani tu muujiza utokee ili wajikute wameingia makundi shirikisho ila kiukweli mpangokazi haupo kabisaaa.
 
Back
Top Bottom