Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

msongo wa mawazo utakuumiza sana
 
Wanadhani kutofuzu Club bingwa kulisababishwa na kauli mbiu

Now Ally Kamwe namuona mnyonge sana anaogopa kutoka kifua mbele kwa maneno ya kishujaa yqsije kumkuta ya Al hilal
Wamefyata mkia kama mbwa jike anyeogopa kugongwa
 
Usiku wa deni huwa haukawii kukucha, kesho ndo kesho ile furaha yao waliyopewa na azam itaisha kesho
 
Mimi kwa jicho langu naona kesho Yanga wanawafunga Tunisia labda Yanga wakafungwe huko kwao marudio. Shida ni kwamba watafunga moja tuu.
Labda ashinde njaa .
Wakijitahd Ni droo
Yanga iliyocheza na Geita juzi ndo washinde kweli?
 
Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong ,bajaji,boda ,bolt[emoji23]
 
Hii picha imepigwa kesho saa 12 jioni
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-111407.png
    103.6 KB · Views: 4
Morrison naskia anatuma msg kila sku kwa mataita wa Simba anasema mateso anayopata Yanga ni mazito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…