Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

Kuanzia home ni mtego sana..

Imagine unatamani sana ufunge goli nyingi so basically approach itakuwa ni kuanza na wachezaji ambao ni attacking minded..

Morisson na jesus moloko,ni wazuri sana kwenye mashambulizi ila HAWAKABI HATA KIDOGO.

Vipi kama jamaa watakuwa wanatega mitego ya counter attack,na wanatumia mipira mirefu na upande pendwa ni ule ule wa djuma shaban.

Ukisema uwavute waje kwako na kisha upige mipira mirefu,jamaa watakuwa hawaji coz wao watakuwa wanafurahia kupoteza muda(ni maproo wa kupoteza muda)so utakuwa umeingia kwenye mtego wao mara nyingine.

YANGA ILI WASHINDE KESHO WACHEZE KAWAIDA TU,WASIJIDANGANYE KUNA GOLI NYINGI WATAAMBULIA KUTOA SARE TU.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukijaga kwenye jukwaa hili akili huwa unaacha wapi?
Hata sijui aisee ila nadhani ni kwasababu ya ushabiki tuu.. Ukishakuwa shabiki wa chochote inabidi akili zako uzifungie kabatini kwanza maana hakuna shule yoyote ya kufunza ushabiki
IMG-20221102-WA0024.jpg
 
Back
Top Bottom