OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hujaelewa swali? Kama umelipiwa tuambie unakaa wapi siku nyingine na sisi tukulipieWewe huwa ni mchepuko wa mwamedi? Mbona umeweka avatar yenye picha yake?
Kumbuka usemi wa JK,ukitaka kula na wewe kubali kuliwa,au kizaramo tunasema there is no free lunch.Ndio nikafika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi kulipiwa.
Inaonekana kulipiwa kuna shida, kwa nini waliokwisha lipiwa wajifiche. Au kuna masharti mmepewa ili mlipiwe?
Humu JF kuna wana Yanga kibao. Nataka kuwatambua vijana ambao mshalipiwaaaaawa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ili siku nyingine kama kuna mtu anataka kuwalipia tuwape connection
Mwamedi amekulipia wewe sh ngapi?Hujaelewa swali? Kama umelipiwa tuambie unakaa wapi siku nyingine na sisi tukulipie
Kwani na wewe mkuu umelipiwa?mwasibu fake mganga mpiga ramli chonganishi