Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Ndio nimefika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi kulipiwa.

Inaonekana kulipiwa kuna shida, kwa nini waliokwisha lipiwa wajifiche. Au kuna masharti mmepewa ili mlipiwe?

Humu JF kuna wana Yanga kibao. Nataka kuwatambua vijana ambao mshalipiwaaaaawa 😀😀😀😀
Ili siku nyingine kama kuna mtu anataka kuwalipia tuwape connection
 
Ndio nikafika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi kulipiwa.

Inaonekana kulipiwa kuna shida, kwa nini waliokwisha lipiwa wajifiche. Au kuna masharti mmepewa ili mlipiwe?

Humu JF kuna wana Yanga kibao. Nataka kuwatambua vijana ambao mshalipiwaaaaawa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ili siku nyingine kama kuna mtu anataka kuwalipia tuwape connection
Kumbuka usemi wa JK,ukitaka kula na wewe kubali kuliwa,au kizaramo tunasema there is no free lunch.
 
IMG-20240318-WA0190.jpg
 
Back
Top Bottom