Yanga: Mmeokota wapi hawa mafowadi?

Enzymes

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
4,332
Reaction score
3,013
Wana JF

Naamini wote tu wapenzi wa timu zetu za ndani linapokuja suala la Utaifa kwanza. U Yanga, U Simba, U Azam, U Mbea City, nk tupa kuleee!

Mm ni shabiki na mpenzi sana wa Young Africans Club ila hili lina nibore!

Hili Kombe la Kagame limeonesha maajabu sana ktk timu zetu hasa Yanga!

Niliangalia ile mechi ya Yanga Vs Telecom, baadae Yanga Vs KMKM, na leo Yanga Vs Khartoom National Sports Club, kweli Yanga ni majanga!


Beki ya Yanga na Midfielder wako njema hatare, utadhani sauti ya King Kiba ( Sorry Diamond followers). Wanalinda goli na Wanaokoa hatari kwa uhakika na kwa kujiamini sana (Self Confidence) na wanapeleka mipira mbele kila dk utadhani Umoja wa siafu!
Hapa sina Comment, only a Big, Big up!

Licha ya kuwa na Kocha Mzungu (raia wa kigeni mshahara mkubwa), kusajili mafowadi wengi tena wa Kigeni akina Hamis Tambwe, Coutinoh, Donald Ngoma, nk hadi 7 na kuacha vijana wetu Wazalendo wa ndani, hawa mafowadi ni butu balaa!!
Huyu Ngoma ni bora arudishwe kwao tu mapema. Badala ya kuscore yeye anaokoa mabao (anakuwa tena mpinzani wa timu yake).

Je ndio wamekuja kujifunza mpira Bongo?

Barcelona walikuwa na Ibrahimvic, huyu alipiga shuti 20 na kuscore 1. Barca wakamuuza PSG, misimu 3 iliyopita amekuwa moto sana ktk ligi yao.

Hawa akina Tambwe, Ngoma wanapiga shuti 20, score rate ni zero (0) wakiishia tu kujiangusha na kubutua tu nje! Ni hasara sana kwangu mshabiki (huwa sijiamini kama tutashinda, hata jezi huwa navaa kwa kuvizia) na timu kwa ujumla.

Mm pia napendekeza hawa mafowadi wauzwe upya tena.

TFF punguzeni idadi ya wachezaji wa kigeni hadi wa3 . Hawa wanaua Soka la ndani na wanakomba mishahara mikubwa, kumbe kureee kabisaa!!
Igeni mfano wa SPAIN ( sie tunaita ubaguzi ila wao wanajua), imesaidia sana kuwa na Strong National team. Ukienda pale unachezea kichapo kitakatifu!!

Pia tuache mazoea ya kusajili mchezaji kwa kuangalia Performance ya mechi 1 au 2! Mfano: Ngoma.

Je ligi ikianza si pata chimbika kwa Simba?
 
Ngoma anajua sana

Kuhusu Tambwe nenda Google
Jamaa anapga vichwa yule
 
hii umeitoa insta, huku JF hakuna followers... siku nyingine weka source
 
Nyoosha maelezo unaongelea nn... Mbona maneno mengi.....

Mkuu uwe unajongea viwanjani au una angalia game za home hata kupitia Tv, si kila kitu tusimulie hapa!
 
Subiri waelewane forward mbona huu upuuzi utaufuta ulio andika.
 
Ngoma anajua sana

Kuhusu Tambwe nenda Google
Jamaa anapga vichwa yule

Mkuu lakini si game umezicheki!

Yanga walikuwa na nafasi ya kuscore sio chini ya goli 3 kila game lakini ndio hivyo!!
 
Sijuiwatasema misumari nilichokiona.kwa hamisi..msuva sioyule kabsa.wa zaman kama kalazimjshwa kucheza..hjyo busungu.mpaka akutanenayo..loh hata beki unayosemea ujaona uluuzi.wa kipindi chakwanza yaani simba.na Yanga mtalia ndugu namashabikiwenzangu wa yanga..ni aibu...kati akuna godfrey wala nani
 

Babu yangu Pdidy kumbe nawe umeona eeh?

Watu wanabisha hapa utadhani mzaa
 
Last edited by a moderator:
Timu iko poa..kama umecheza mpira kuna siku mchezaji game ukataa..msuva huyuhuyu si ndiye alikuwa anazomewa kila siku kwenye ligi lakini mwisho wa siku akawa mfungaji bora..mfano leo busungu kacheza vuzuri sana..unapo tathmini kiwango cha timu yako angalia pia na kile cha mpinzani wako..wale jamaa pia wako vizuri.
 
hivi ww wa wapi?si ungeangalia isodingo tu ujiridhishe..mpira una watu wake kakaa
 
Maneno mengi unajifanya mchambuzi wa michezo kumbe hakuna kitu. Mapungufu ya Yanga ni kwenye namba 6 na pia Oscar Joshua sio beki mzuri.

Yanga waachane na Twitte wasajili namba 6 mzuri si lazima awe mchezaji wa kulipwa
 
Maneno mengi unajifanya mchambuzi wa michezo kumbe hakuna kitu. Mapungufu ya Yanga ni kwenye namba 6 na pia Oscar Joshua sio beki mzuri.

Yanga waachane na Twitte wasajili namba 6 mzuri si lazima awe mchezaji wa kulipwa

Ww unaufahamu mpira? Au ndio wale wale wajuaji wa bongo, kumbe nao hamna kitu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…