Yanga: Mmeokota wapi hawa mafowadi?

Wana Yanga, tumedhalishwa sana tena sana. Tumefungwa 5 - 3. Timu ilicheza mpira wa ndondo-si wa kimataifa.

Nilisema hii timu mbovu. Wamesajili ovyo ovyo, watu mapovu yakawatoka hapa!!
Cc: kabange.rm juma miraji libeva Yombayomba bila kumsahau babu yangu mpendwa Pdidy
 
Last edited by a moderator:
eti wa kimataifa,malizeni east africa kwanza ndo muende kwa waarabu.hapa tu mnashindwa.
 
eti wa kimataifa,malizeni east africa kwanza ndo muende kwa waarabu.hapa tu mnashindwa.

mimi nina foward mbovu ila kila mwaka nimo wewe mwenye foward nzuri kila siku unapambana na kina prisons,jkt ruvu na mgambo usishuke daraja.km hauna makengeza basi jana uliiona final ya kagame pale taifa kwani wanaume walichuana kwei kwei na sio mchezo.wakat huo wewe huko chumban unatandika kitanda!
 


Yanga kimeo tu....sifa za magazeti ya kibongo tu
 
Kiongozi utalaumu vipi wachezaji wa kigeni wakati timu yenyewe fani yao ni kuvua kambare wa mafuriko bonde la jagwani?
Kama huamini angalia mechi zao za kujipima nguvu, walicheza na Friends rangers, Polisi kombaini. Huo uwezo wa kuzifunga timu kubwa zenye uwezo kisoka kama Gormahia na Azam watautoa wapi!
 
Busungu anaruka ruka tu uwanjani

Unajua tatizo la Yanga wanafikiri wanajua sana, kinachotokea sasa hivi ni Simba kuwaingiza mkenge ili Yanga wasajili vimeo vya kufa mtu. Wanasubiri Simba itangaze kumtaka mchezaji fulani ili wao waingilie kati na kumchukua, sasa kilichopo ni Mnyama kutangaza nia ya kumchukua mchezaji yeyote kimeo ili wajinga waingie kichwa kichwa. Tumeiona kwa Busungu, Kaseke na sasa hivi tunataka tuwaingize mkenge kwa mchezaji mmoja wa Gormahia sibirini mtaona sio siku nyingi.
 
Na mwaka huu watasajili Majaja wengi kweli, wataishia kusubiri magoli ya ndondokela kama Jaja.
 
Hiki ndio kitu ninachowapendea mashabiki wa yanga,wako wazi kuzungumzia matatizo ya timu yao bila woga na hatimaye timu inatengamaa na hatimae timu inafanya vizuri tofauti na wazee wa kariakoo timu yao ikifanya vibaya wanaacha kuzungumzia timu yao na kila asubui wanazungumzia tim za watu...hongereni kwa hilo wana yanga...timu itakaa vzuri
 
Wameishiwa maneno kuna mmoja huwa anachonga sana lakini nashangaa amekubali na kusema eti itatengemaa, labda wasubiri kupigwa mkono tena itatengemaa tu.
Na kwa taarifa yenu msimu huu gabachori hahongi tena anahofia kukamatwa kama kilichompata Vikao vya NEC Dodoma.
 
Na mtasota sana kufikia rekodi ya Simba kimataifa, hiyo ya Kagame tu imewashinda kuifikia ya Simba.
 
chiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................................
 

watanzania watu wa ajabu hujifanya kila kitu wanajua wakati hakuna lolote na ndio maana hatuendelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…