Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina kuhusu nn?
Vp leo umecheki Game? Yanga Vs Azam nipe matokeo mkuu
Subiri waelewane forward mbona huu upuuzi utaufuta ulio andika.
eti wa kimataifa,malizeni east africa kwanza ndo muende kwa waarabu.hapa tu mnashindwa.
Kwanza si kweeli Bbarca walimuuza Zlatan kwa PSG,ukweli nni kuwa Zlatanaliuzwa kwa Ac Milan. Kuhusu wachezaji wa kigeni, uweppo wao kuna faida kubwa na mja ni hii, inawafanya waachezajiwzawa, kuujituma na kupambana ili kupata namba, a kuacha kubweteka. seaon iliyopita tuliona jinsi Msuva na Ngassa, walivyopambana, mpaka kujihakikishia namba kwenye kikozi. Mashindano haya, utaona Busungu, anavyopambana ili apate namba,au huyu dogo to Mbeya, aavopambana ili kuupata namba. Faida, ni kubwa mno, kutokufunga, bahati mbaya, umbuka hii timuu, achezaji mbele wengi wapya hawajazoe kucheza pamoja. Tumpe muda kocha aijenge timu.
Busungu anaruka ruka tu uwanjani
Busungu anaruka ruka tu uwanjani
Bora mnajitambua mlivyo wabovu. RIP Yanga!Je ligi ikianza si pata chimbika kwa Simba?
chiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................................kiongozi utalaumu vipi wachezaji wa kigeni wakati timu yenyewe fani yao ni kuvua kambare wa mafuriko bonde la jagwani?
Kama huamini angalia mechi zao za kujipima nguvu, walicheza na friends rangers, polisi kombaini. Huo uwezo wa kuzifunga timu kubwa zenye uwezo kisoka kama gormahia na azam watautoa wapi!
Wana JF
Naamini wote tu wapenzi wa timu zetu za ndani linapokuja suala la Utaifa kwanza. U Yanga, U Simba, U Azam, U Mbea City, nk tupa kuleee!
Mm ni shabiki na mpenzi sana wa Young Africans Club ila hili lina nibore!
Hili Kombe la Kagame limeonesha maajabu sana ktk timu zetu hasa Yanga!
Niliangalia ile mechi ya Yanga Vs Telecom, baadae Yanga Vs KMKM, na leo Yanga Vs Khartoom National Sports Club, kweli Yanga ni majanga!
Beki ya Yanga na Midfielder wako njema hatare, utadhani sauti ya King Kiba ( Sorry Diamond followers). Wanalinda goli na Wanaokoa hatari kwa uhakika na kwa kujiamini sana (Self Confidence) na wanapeleka mipira mbele kila dk utadhani Umoja wa siafu!
Hapa sina Comment, only a Big, Big up!
Licha ya kuwa na Kocha Mzungu (raia wa kigeni mshahara mkubwa), kusajili mafowadi wengi tena wa Kigeni akina Hamis Tambwe, Coutinoh, Donald Ngoma, nk hadi 7 na kuacha vijana wetu Wazalendo wa ndani, hawa mafowadi ni butu balaa!!
Huyu Ngoma ni bora arudishwe kwao tu mapema. Badala ya kuscore yeye anaokoa mabao (anakuwa tena mpinzani wa timu yake).
Je ndio wamekuja kujifunza mpira Bongo?
Barcelona walikuwa na Ibrahimvic, huyu alipiga shuti 20 na kuscore 1. Barca wakamuuza PSG, misimu 3 iliyopita amekuwa moto sana ktk ligi yao.
Hawa akina Tambwe, Ngoma wanapiga shuti 20, score rate ni zero (0) wakiishia tu kujiangusha na kubutua tu nje! Ni hasara sana kwangu mshabiki (huwa sijiamini kama tutashinda, hata jezi huwa navaa kwa kuvizia) na timu kwa ujumla.
Mm pia napendekeza hawa mafowadi wauzwe upya tena.
TFF punguzeni idadi ya wachezaji wa kigeni hadi wa3 . Hawa wanaua Soka la ndani na wanakomba mishahara mikubwa, kumbe kureee kabisaa!!
Igeni mfano wa SPAIN ( sie tunaita ubaguzi ila wao wanajua), imesaidia sana kuwa na Strong National team. Ukienda pale unachezea kichapo kitakatifu!!
Pia tuache mazoea ya kusajili mchezaji kwa kuangalia Performance ya mechi 1 au 2! Mfano: Ngoma.
Je ligi ikianza si pata chimbika kwa Simba?
watanzania watu wa ajabu hujifanya kila kitu wanajua wakati hakuna lolote na ndio maana hatuendelei