Yanga mnalakujifunza toka kwa waarabu

Yanga mnalakujifunza toka kwa waarabu

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Timu ya soka ya Yanga mnabidi kujifunza toka kwa waarabu, mmezidi kua wanyonge Sana, katika soka la Africa fitina za nje ya uwanja ni kubwa mno.

Waamuzi wananunuliwa na uwanjani wanakua washajua timu gani ishinde, msimu uliopita kama sio kua mwamuzi kuwabeba Mamelod Yanga mlikua mnacheza nusu fainali jambo la ajabu sana mkamuacha yule mwamuzi ata bila kumchapa makofi mawili au ngumi za tumbo ili next time akichukua ela na kuja na matokeo yake ajue kabisa kuna kupigwa.

Juzi si tumeona waarabu ambavyo hawataki ujinga walivyomchapa yule refa baada ya kuona amewapa faida makolo kwa kutokumaliza mpira wakati dakika za nyongeza zilishakwisha

Hakuna unyonge hata kama wanachukua point tatu wasutuchulie poa kabisa.

Sasa makolo hakuna anayewahamini tena hasa kwenye hili kombe la wajinga, mahana wana record zao, kuna msimu waliwai kuroga hadharani kwa kuwasha moto uwanjani Leo tena wanagoa viti, hatari sana hawa makolo.
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Kaka Yanga hata mpewe dakika 120 hamshindi,kifupi team hata intense vipi haijui mpira.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Timu ya soka ya Yanga mnabidi kujifunza toka kwa waarabu, mmezidi kua wanyonge Sana, katika soka la Africa fitina za nje ya uwanja ni kubwa mno.

Waamuzi wananunuliwa na uwanjani wanakua washajua timu gani ishinde, msimu uliopita kama sio kua mwamuzi kuwabeba Mamelod Yanga mlikua mnacheza nusu fainali jambo la ajabu sana mkamuacha yule mwamuzi ata bila kumchapa makofi mawili au ngumi za tumbo ili next time akichukua ela na kuja na matokeo yake ajue kabisa kuna kupigwa.

Juzi si tumeona waarabu ambavyo hawataki ujinga walivyomchapa yule refa baada ya kuona amewapa faida makolo kwa kutokumaliza mpira wakati dakika za nyongeza zilishakwisha

Hakuna unyonge hata kama wanachukua point tatu wasutuchulie poa kabisa.

Sasa makolo hakuna anayewahamini tena hasa kwenye hili kombe la wajinga, mahana wana record zao, kuna msimu waliwai kuroga hadharani kwa kuwasha moto uwanjani Leo tena wanagoa viti, hatari sana hawa makolo.
Ukweli kule Mamelodi tungemlamba kofi yule.
 
Yanga walishajaribu kuwahonga marefa kutoka Ethiopia walipocheza na Gor Mahia kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa ya Afrika.
Katibu Mkuu wao Issa Makongoro akafungiwa maisha kujishughulisha na mambo ya mpira.
 
kwenye Lile kundi la mtu 2.naomba aongezwe na Mzee magoma tu
Wengine wabaki vile vile.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom