kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Inashangaza kuona yanga wanalilia goli ambalo sio goli ,mpaka refa anyoshe kati ndio linakua goli.
Pili kujitoa ufahamu wa kulilia nusu fainali ilihali mnajua viongozi wenu walishawatangazia malengo yenu ni kufika makundi hiyo robo ni kama bonasi hivyo mjue viongozi wakienda chooni hucheka peke yao kuwaona viumbe wa ajabu kulilia nusu fainali wakati timu iliyotayarishwa ni ya makundi.
Mwisho ni heri zote zimetoka tuweze kulala usingizi maana upuuzi ulikua mwingi kuanzia kwa mawaziri,maafisa habari na wachambuzi wao!