Yanga mnaolia sana malengo yenu ilikua makundi robo ni kama bonasi

Yanga mnaolia sana malengo yenu ilikua makundi robo ni kama bonasi

Kabla ya kupangiwa Robo fainali kucheza na Mamelody.

Viongozi wa yanga na Mashabiki baadhi ya walikuwa wanaomba Kupangiwa mamelody.

Walikuwa wanataka kuonyesha jinsi timu yao ilivyo Bora.

Wamezidiwa kila kitu kwenye mchezo hadi akili ya kumzonga mwamuzi kwenda kujiridhisha goli kwenye VAR.
[emoji867]
 
GKfAkJqXYAEOetn.jpg
 
Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
Mama yako? Yaani unawaalika waende Kwa mama yako,,, anyway
 
Back
Top Bottom