Kabla ya kupangiwa Robo fainali kucheza na Mamelody.
Viongozi wa yanga na Mashabiki baadhi ya walikuwa wanaomba Kupangiwa mamelody.
Walikuwa wanataka kuonyesha jinsi timu yao ilivyo Bora.
Wamezidiwa kila kitu kwenye mchezo hadi akili ya kumzonga mwamuzi kwenda kujiridhisha goli kwenye VAR.