Yanga mnaonewa hadi na waziri na mko kimya?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Hii yanga sc ya Hersi mbona laini laini sana? Manara keshamwaga petrol leo, hamna viberiti vya gas?

Mbona mko kimya? Mnaonewa na waziri...TFF halafu mmekaaa kama maboya tu, hadi mnaitwa vinyesi FC

Lianzisheni basi timbwili, Manara kafungiwa akitetea taasisi, ni ugomvi wa team siyo wake binafsi, acheni kuwa lelemama

Jitoeni kwenye ligi, futeni week ya mwananchi, jitoeni michezo ya CAF kuonyesha jinsi msivyotaka masihara
 
Swala la huyu mtu Yanga wasipokuwa makini litapenya mpaka ndani ya uongozi litazua taharuki na kuamsha bundi kwenye club.
 
Msemaji wa Yanga amesema huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK waliobakia wote ni mazwazwa tu
 
Hii yanga sc ya Hersi mbona laini laini sana? Manara keshamwaga petrol leo, hamna viberiti vya gas?

Mbona mko kimya? Mnaonewa na waziri...TFF halafu mmekaaa kama maboya tu, hadi mnaitwa vinyesi FC

Lianzisheni basi timbwili, Manara kafungiwa akitetea taasisi, ni ugomvi wa team siyo wake binafsi, acheni kuwa lelemama

Jitoeni kwenye ligi, futeni week ya mwananchi, jitoeni michezo ya CAF kuonyesha jinsi msivyotaka masihara
Wala wasijitoe. Kule CAFCL wakienda waachie magoli kama 7 hivi ili watie nchi aibu.. Hapo lazima rais ataingilia suala la Manara.
 
Back
Top Bottom