Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Inakuuma nini? kila mtu afanye yakeYanga wanajiona kucheza mechi ya kirafiki na KMC ndio wamefanya maandalizi ya maana, kwao mechi za kirafiki za kimataifa hazina msaada na hazina tija, ila sawa, time will tell, nyie jioneni mnajua sana kwa vile mnawafunga Simba kila mnapocheza nao, mnaona kuwafunga Simba ni kipimo tosha kwenu cha kubeba kombe la CAF ila kaeni mkijua ndugu zangu, Al Hilal ndio mtakaocheza nao duru la 2 na sio St George, Ibenge ni hatari sana kwenye michuano ya CAF.
Mwoga ni yule anae jipima pima maana yake hajiaminiUtopolo ni waoga sana kucheza International games
muda mwingine pokeeni ushauri. sio kukaza fuvu tuInakuuma nini? kila mtu afanye yake
Kwahiyo Yanga malengo yake ni kumfunga Simba tu basi ila kimataifa haiwahusu siyo?Yanga tunajiamini na kikosi chetu,si mlienda misri nyie pre season? Sie tukabaki kigamboni mliona tulichowafanya?
Sasa mpo sudan sie tupo kigamboni subirini oktoba 23 dose ya pili mtapokea halafu ndio ùjitafakari vzr
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yanga wanajiona kucheza mechi ya kirafiki na KMC ndio wamefanya maandalizi ya maana, kwao mechi za kirafiki za kimataifa hazina msaada na hazina tija, ila sawa, time will tell, nyie jioneni mnajua sana kwa vile mnawafunga Simba kila mnapocheza nao, mnaona kuwafunga Simba ni kipimo tosha kwenu cha kubeba kombe la CAF ila kaeni mkijua ndugu zangu, Al Hilal ndio mtakaocheza nao duru la 2 na sio St George, Ibenge ni hatari sana kwenye michuano ya CAF.
Mngekua mnajua kushauri msingekua mnaishia robo fainalimuda mwingine pokeeni ushauri. sio kukaza fuvu tu
Tangu lini Mwenge ukavuka mipaka ya nchi?Yanga wanajiona kucheza mechi ya kirafiki na KMC ndio wamefanya maandalizi ya maana, kwao mechi za kirafiki za kimataifa hazina msaada na hazina tija, ila sawa, time will tell, nyie jioneni mnajua sana kwa vile mnawafunga Simba kila mnapocheza nao, mnaona kuwafunga Simba ni kipimo tosha kwenu cha kubeba kombe la CAF ila kaeni mkijua ndugu zangu, Al Hilal ndio mtakaocheza nao duru la 2 na sio St George, Ibenge ni hatari sana kwenye michuano ya CAF.
Kwenye hizi mechi makocha kuna kitu wanatengeneza,mechi za kimataifa sio kwamba hatutaki lakini ni ngumu kuzipataYanga wanajiona kucheza mechi ya kirafiki na KMC ndio wamefanya maandalizi ya maana, kwao mechi za kirafiki za kimataifa hazina msaada na hazina tija, ila sawa, time will tell, nyie jioneni mnajua sana kwa vile mnawafunga Simba kila mnapocheza nao, mnaona kuwafunga Simba ni kipimo tosha kwenu cha kubeba kombe la CAF ila kaeni mkijua ndugu zangu, Al Hilal ndio mtakaocheza nao duru la 2 na sio St George, Ibenge ni hatari sana kwenye michuano ya CAF.
usikute hili mbwege ni kiongozi wa UtoMngekua mnajua kushauri msingekua mnaishia robo fainali
Na nyie mkaishia wapi bloangu?Mngekua mnajua kushauri msingekua mnaishia robo fainali
Duh,ama kweli wenye akili wawili tu.Mwoga ni yule anae jipima pima maana yake hajiamini
Mwoga ni yule anae jipima pima maana yake hajiamini
utopolo mnajua mkicheza friendly match za kimataifa Ni kupigwa kwa aibu tu.Mwoga ni yule anae jipima pima maana yake hajiamini