Yanga mnapocheza mechi ya kirafiki na KMC kujiandaa na mechi za kimataifa, msije kulialia

Ukitoka kujua yanga mbovu angalia mechi waliocheza na coastal union pale arusha kwenye FA na walivyocheza na simba kipindi cha kwanza juzi ni ulozi tu unawaokoa ila wakija kufungwa utasikia kelele zote kwa karia kama ndo kocha wao vile.
 
ingekua mnapokea ushauri msingecheza mechi 2 na kupigwa zote na kuaga mashindano.

Mwaka huu mtacheza mechi 4 angalao. Halafu safari inaishia hapo cafcl.

Yanga ujuaji mwingi.
Mwaka uliopita wanasema walifungwa kwasababu karia aliwagomea kuingia na mashabiki.
 
Ukitoka kujua yanga mbovu angalia mechi waliocheza na coastal union pale arusha kwenye FA na walivyocheza na simba kipindi cha kwanza juzi ni ulozi tu unawaokoa ila wakija kufungwa utasikia kelele zote kwa karia kama ndo kocha wao vile.
Kipindi cha pili ilicheza bahasha?
 
Si mlienda Misri wenzenu wakaenda kigamboni lakini bado mkafumuliwa.

Sio kila mada ya kuanzisha uzi
 
Back
Top Bottom