CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
MAMELODI WALIENDA PRE SEASON WAPI?? VP TP MAZEMBE??muda mwingine pokeeni ushauri. sio kukaza fuvu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAMELODI WALIENDA PRE SEASON WAPI?? VP TP MAZEMBE??muda mwingine pokeeni ushauri. sio kukaza fuvu tu
Mwaka uliopita wanasema walifungwa kwasababu karia aliwagomea kuingia na mashabiki.ingekua mnapokea ushauri msingecheza mechi 2 na kupigwa zote na kuaga mashindano.
Mwaka huu mtacheza mechi 4 angalao. Halafu safari inaishia hapo cafcl.
Yanga ujuaji mwingi.
Kipindi cha pili ilicheza bahasha?Ukitoka kujua yanga mbovu angalia mechi waliocheza na coastal union pale arusha kwenye FA na walivyocheza na simba kipindi cha kwanza juzi ni ulozi tu unawaokoa ila wakija kufungwa utasikia kelele zote kwa karia kama ndo kocha wao vile.
Substitution problemKipindi cha pili ilicheza bahasha?