This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Oct 23 Kuna mechi ya kimataifa? Kwahiyo hapa tunazungumzia mechi za maandalizi kwa ajili ya oct 23? Kwahiyo Simba walienda Misri kwa ajili ya Yanga ?Yanga tunajiamini na kikosi chetu,si mlienda misri nyie pre season? Sie tukabaki kigamboni mliona tulichowafanya?
Sasa mpo sudan sie tupo kigamboni subirini oktoba 23 dose ya pili mtapokea halafu ndio ùjitafakari vzr
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wewe akili yako ukishamfunga Simba ndiyo umefaulu kimataifa huhitaji kingine.
Utopolo mtacheza mechi 4 tu cafcl na kuaga, Mna mzaha mwingi Sana.
Aliyesema NYIE NI mazuzu/manyani hamna Akili hakukosea.