Yanga mnapocheza mechi ya kirafiki na KMC kujiandaa na mechi za kimataifa, msije kulialia

Yanga mnapocheza mechi ya kirafiki na KMC kujiandaa na mechi za kimataifa, msije kulialia

Yanga tunajiamini na kikosi chetu,si mlienda misri nyie pre season? Sie tukabaki kigamboni mliona tulichowafanya?
Sasa mpo sudan sie tupo kigamboni subirini oktoba 23 dose ya pili mtapokea halafu ndio ùjitafakari vzr

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Oct 23 Kuna mechi ya kimataifa? Kwahiyo hapa tunazungumzia mechi za maandalizi kwa ajili ya oct 23? Kwahiyo Simba walienda Misri kwa ajili ya Yanga ?
Kwahiyo wewe akili yako ukishamfunga Simba ndiyo umefaulu kimataifa huhitaji kingine.

Utopolo mtacheza mechi 4 tu cafcl na kuaga, Mna mzaha mwingi Sana.

Aliyesema NYIE NI mazuzu/manyani hamna Akili hakukosea.
 
Simba wenzangu hawa watu msiwe mnawashauri. Mwaka jana barba aliwambia wajiandae Nigeria kuna ftna wakamjibu ovyo kilichowakuta wote tulishuhudia.
 
Yanga wanajiona kucheza mechi ya kirafiki na KMC ndio wamefanya maandalizi ya maana, kwao mechi za kirafiki za kimataifa hazina msaada na hazina tija, ila sawa, time will tell, nyie jioneni mnajua sana kwa vile mnawafunga Simba kila mnapocheza nao, mnaona kuwafunga Simba ni kipimo tosha kwenu cha kubeba kombe la CAF ila kaeni mkijua ndugu zangu, Al Hilal ndio mtakaocheza nao duru la 2 na sio St George, Ibenge ni hatari sana kwenye michuano ya CAF.
Mkurugenzi, acha kuteseka na vitu visivyo kuhusu.
 
Kwahiyo Yanga malengo yake ni kumfunga Simba tu basi ila kimataifa haiwahusu siyo?

Kweli uto ni uto tu.
Na hicho ndicho kipaumbele chetu cha kwanza. Kumchinja mnyama bila ya huruma! Na kiukweli huwa tunafurahia kweli kuwafunga! Na itokee Mayele akatetema, ndiyo kabisaaa!!

Hayo malengo ya Kimataifa kwetu ni kipaumbele namba 2! Kuna lingine?
 
utopolo mnajua mkicheza friendly match za kimataifa Ni kupigwa kwa aibu tu.

Simba haichezi hizi mechi za kimataifa za kujipima sebuleni km Yanga mnavyojifungia Avic na vitimu vya ndondo. Toka hadharani ujipime na wanaume.

Ila Mpaka sasa Yanga Ni km ameshatinga nusu fainali ya cafcl, Nani wa kuisimamisha Yanga Afrika hii. Mechi za kirafiki za kimataifa za nini kwa kikosi Bora km Cha yanga. Nani Bora km Yanga Afrika,.

Simba waoga Sana.
Kinacho wawasha ni nini? nyie si mfanye yenu mnataka muonekane mmeigwa ?
 
Mzungu pori wao ndo aliwaaminisha msimu huu wanaenda kubeba ubingwa wa cuf ya Lipumba[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyu bwege anawalisha ujinga mwingi sana uto
1660262109234.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wanaogopa kufungwa wasije wakashindwa kwenda kabisa mashindanoni
 
Kwahiyo Yanga malengo yake ni kumfunga Simba tu basi ila kimataifa haiwahusu siyo?

Kweli uto ni uto tu.
Nyie mna malengo gani kimataifa. Au mna kombe lolote au ndio kila mwaka ahsante kwa kushiriki
 
Kitu ambacho simba wanakifanya ni kile ambacho timu yoyote ya soka inatakiwa kufanya, kwenda pre season,mechi za kirafiki hivi ndivyo vinavyotakiwa kufanyika Yanga wao bado wapo katika zama za Ujima,Simba hawaangalii matokeo bali wanafata sayansi ya mpira inavyotaka kufungwa au kukosa ubingwa ni sehemu ya mpira,Simba haendi pre season ili kushindana na Azam au Namungo bali anaiandaa timu yake kushindana ndaani na nje ya Tanzania pia kukuza brand ya timu.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mkawashauri Geita Gold pia nao wana mechi za kimataifa kila mtu anataka kuishauri Yanga
 
Back
Top Bottom