Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Yanga wanajiona kucheza mechi ya kirafiki na KMC ndio wamefanya maandalizi ya maana, kwao mechi za kirafiki za kimataifa hazina msaada na hazina tija, ila sawa, time will tell, nyie jioneni mnajua sana kwa vile mnawafunga Simba kila mnapocheza nao, mnaona kuwafunga Simba ni kipimo tosha kwenu cha kubeba kombe la CAF ila kaeni mkijua ndugu zangu, Al Hilal ndio mtakaocheza nao duru la 2 na sio St George, Ibenge ni hatari sana kwenye michuano ya CAF.