Yanga mnapocheza mechi ya kirafiki na KMC kujiandaa na mechi za kimataifa, msije kulialia

Oct 23 Kuna mechi ya kimataifa? Kwahiyo hapa tunazungumzia mechi za maandalizi kwa ajili ya oct 23? Kwahiyo Simba walienda Misri kwa ajili ya Yanga ?
Kwahiyo wewe akili yako ukishamfunga Simba ndiyo umefaulu kimataifa huhitaji kingine.

Utopolo mtacheza mechi 4 tu cafcl na kuaga, Mna mzaha mwingi Sana.

Aliyesema NYIE NI mazuzu/manyani hamna Akili hakukosea.
 
Mngekua mnajua kushauri msingekua mnaishia robo fainali
ingekua mnapokea ushauri msingecheza mechi 2 na kupigwa zote na kuaga mashindano.

Mwaka huu mtacheza mechi 4 angalao. Halafu safari inaishia hapo cafcl.

Yanga ujuaji mwingi.
 
Simba wenzangu hawa watu msiwe mnawashauri. Mwaka jana barba aliwambia wajiandae Nigeria kuna ftna wakamjibu ovyo kilichowakuta wote tulishuhudia.
 
Mkurugenzi, acha kuteseka na vitu visivyo kuhusu.
 
Kwahiyo Yanga malengo yake ni kumfunga Simba tu basi ila kimataifa haiwahusu siyo?

Kweli uto ni uto tu.
Na hicho ndicho kipaumbele chetu cha kwanza. Kumchinja mnyama bila ya huruma! Na kiukweli huwa tunafurahia kweli kuwafunga! Na itokee Mayele akatetema, ndiyo kabisaaa!!

Hayo malengo ya Kimataifa kwetu ni kipaumbele namba 2! Kuna lingine?
 
Kinacho wawasha ni nini? nyie si mfanye yenu mnataka muonekane mmeigwa ?
 
Wanaogopa kufungwa wasije wakashindwa kwenda kabisa mashindanoni
 
Kwahiyo Yanga malengo yake ni kumfunga Simba tu basi ila kimataifa haiwahusu siyo?

Kweli uto ni uto tu.
Nyie mna malengo gani kimataifa. Au mna kombe lolote au ndio kila mwaka ahsante kwa kushiriki
 
Kitu ambacho simba wanakifanya ni kile ambacho timu yoyote ya soka inatakiwa kufanya, kwenda pre season,mechi za kirafiki hivi ndivyo vinavyotakiwa kufanyika Yanga wao bado wapo katika zama za Ujima,Simba hawaangalii matokeo bali wanafata sayansi ya mpira inavyotaka kufungwa au kukosa ubingwa ni sehemu ya mpira,Simba haendi pre season ili kushindana na Azam au Namungo bali anaiandaa timu yake kushindana ndaani na nje ya Tanzania pia kukuza brand ya timu.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mkawashauri Geita Gold pia nao wana mechi za kimataifa kila mtu anataka kuishauri Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…