Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha uongo hatukubebwa tuliwafunga tukaepuka kushuka darajaMsingi wa Yanga ni Wananchi, Yanga si ya Mhindi,wala Mwarabu, Yanga ni Nchi kamili na Nchi kuwana madeni ni jambo la kawaida. Ata kama yanga itapitisha Bakuli ki msingi iyotimu ni yao. Viongozi wanapita Yanga ipo. Kinachotakiwa viongozi waakishirikiana na Wananchi watafute namna ya kuikwamua Yanga apo ilipo. Kihistoria Yanga imeshakutana na Dhoruba nyingi lakini huwa inapita Salama. Ata katika dhoruba hii ya kiuchumi watapita salama. Yanga haijawai kushindwa.
Wakati Simba inapitia katika hali kama hii 1987, 1988, 1989, mara zote 3 ili bebwa isishuke daraja na moja ya timu iliyo ibeba Simba ni Yanga 1989 kwa goli la John Makelele alilo zawadiwa na sahau kambi.
Yanga wao wanahalimbaya ya ukata lakini mwaka 2018/2019 walishika nafasi ya pili. Iyo ndio tofauti kubwa ya Yanga na Simba, Haijalishi Yanga inapitia Magumu kiasi gani lakini sikuzote wao wanashindania Ubingwa.
Hapa Umeongea fununu.... Nadhani unajaribu kupata faraja kwa kukosoa mfumo wa kiutendaji wa Simba. Simba wapo kwenye mfumo wa hisa sio udhamini wa Mo Kama alivowahi kufanya Manji huko nyuma. Hoi kauli ya Mo akiondoka Simba itatetereka imekuwa ajenda kwa Yanga ni mada sasa. Mo akitoka haondoki na hisa zile 49℅ zinabaki na labda kuuzwa kwa motu mwingineLile jengo la Simba palkiutendakkwa taharifayako wajanja walishachukua kodi mbaka 2025 yale maduka hakuna kodi yoyote ambayo klabu imepata pesa imeingia kwenye mifuko ya watu binafasi. Ada wanazolipa Simba Wanachama wote kwa mwaka haifiki milion 100.
MO Pekee ndie kitegauchumi cha Simba siku ambayo MO anajiondoa Simba ndio siku simba inarudi katika hali yake ya Asili. Usiwe mbumbumbu kiasi cha kutoliona ilo. MO kwa sasa timu anaigharamia uku akipata hasara. Kama klabu itasoma hasara miaka mitatu mfululizo, MO ata tafuta sababu atakimbia.
Msingi wa Yanga ni Wananchi, Yanga si ya Mhindi,wala Mwarabu, Yanga ni Nchi kamili na Nchi kuwana madeni ni jambo la kawaida. Ata kama yanga itapitisha Bakuli ki msingi iyotimu ni yao. Viongozi wanapita Yanga ipo. Kinachotakiwa viongozi waakishirikiana na Wananchi watafute namna ya kuikwamua Yanga apo ilipo. Kihistoria Yanga imeshakutana na Dhoruba nyingi lakini huwa inapita Salama. Ata katika dhoruba hii ya kiuchumi watapita salama. Yanga haijawai kushindwa.
Wakati Simba inapitia katika hali kama hii 1987, 1988, 1989, mara zote 3 ili bebwa isishuke daraja na moja ya timu iliyo ibeba Simba ni Yanga 1989 kwa goli la John Makelele alilo zawadiwa na sahau kambi.
Yanga wao wanahalimbaya ya ukata lakini mwaka 2018/2019 walishika nafasi ya pili. Iyo ndio tofauti kubwa ya Yanga na Simba, Haijalishi Yanga inapitia Magumu kiasi gani lakini sikuzote wao wanashindania Ubingwa.
Simba inamiliki nini ? vitega uchumi , kiwanja au chochote ? namaanisha akiondoka Mo mishahara italipwa ?
Lile jengo la Simba pale msimbaz kwa taharifayako wajanja walishachukua kodi mbaka 2025 yale maduka hakuna kodi yoyote ambayo klabu imepata pesa imeingia kwenye mifuko ya watu binafasi. Ada wanazolipa Simba Wanachama wote kwa mwaka haifiki milion 100.
MO Pekee ndie kitegauchumi cha Simba siku ambayo MO anajiondoa Simba ndio siku simba inarudi katika hali yake ya Asili. Usiwe mbumbumbu kiasi cha kutoliona ilo. MO kwa sasa timu anaigharamia uku akipata hasara. Kama klabu itasoma hasara miaka mitatu mfululizo, MO ata tafuta sababu atakimbia.
Katapikie kwenuNatamani kutapika kwa haya matakataka uliyoandika humu,[emoji86][emoji85][emoji90][emoji90][emoji90]
You're Ignorant troll! Go wash your brainWewe jamaa ni popoma wa kiwango cha PhD layman on his best
Igweeeeeeeeee big up mkuu umeongea kwa mifano hai kabisa[emoji120][emoji120]
😝😝😝😝😝😝😝Hiyo siyo breakdown halisi, ni kama wishlist au Letter to Santa.
Hebu breakdown kila kipengele hapo kitaingiza kiasi gani. Halafu ondoa neno "mengineyo mengi sana" Thats like saying if people had wheels, I'd be a tricycle.
Hii statemet
1. Haijibu kwa sababu hujaelewa nichozungumza.
2. Inaku-expose kwa kiasi fulani, kwamba humuelewi kama walivyo 95% ya wanasimba wasivyomuelewa Mo Dewji. Not good.
Uziri ni kuwa huamini usemacho.😝😝😝😝😝😝😝
Sisi ndio tunafanya maamuzi mzee hatubahatishi, kila mwanachama wa Simba anamuelewa Mo na Mo haleti idea zake kama individual bali kama kampuni iliyowekeza klabuni.
.
Hao unaosema hawamuelewi nadhani ni mashabiki tu kama wewe hamshiriki kwenye lolote zaidi ya kubaki na status yenu ya ushabiki
Wameomba tu kichochoro cha mtu wakajibanzaHata hapo palipofanyika huo mkutano sijui kikao panatia huruma jmn
Kwa hivyo huyo mbadala wake Sven anakuja kufanya kazi bure?kupunguza matumizi makubwa ya club kwa kumtoa aussems hivyo klabu itakuwa stable kiuchumi
Hii kitu ni hesabu ambazo hazina uhalisia my friend.Simba ina uwezo wa kukusanya zaidi ya billion 10 kwa msimu mzima kwenye vyanzo vyake vyote.