Yanga mpende msipende lazima turudi kwenye bakuli

Wewe acha uongo hatukubebwa tuliwafunga tukaepuka kushuka daraja

Kama mlituachia kwa nini mlipiga Sahau Kambi mpaka keaho yake gazeti maarufu wakati huo likaandika
"SAHAU HATOSAHAU"
 
Ta
Hapa Umeongea fununu.... Nadhani unajaribu kupata faraja kwa kukosoa mfumo wa kiutendaji wa Simba. Simba wapo kwenye mfumo wa hisa sio udhamini wa Mo Kama alivowahi kufanya Manji huko nyuma. Hoi kauli ya Mo akiondoka Simba itatetereka imekuwa ajenda kwa Yanga ni mada sasa. Mo akitoka haondoki na hisa zile 49β„… zinabaki na labda kuuzwa kwa motu mwingine
 
MO ndio kila kitu simba, akiondoka na simba inarudi kwenye ukata, ndio mmiliki wa timu, akiondoka na simba inakufa
 
Dar kweli yanga wanahistoria ya kujivunia kwenye soka la leo, wanayanga tusiwe na wasiwasi timu ilipita kwenye misuko suko kabla. Na hatuna lengo la kufanya soka la Tanzania kwenda mbele tujivunie historia.
 
Anaondokaje yaani kama Manji alivyo ondoka yanga siyo, hapa utaona elimu ya uwekezaji kwenye Club, Watanzania wengi hawajaelewa bado.
Simba inamiliki nini ? vitega uchumi , kiwanja au chochote ? namaanisha akiondoka Mo mishahara italipwa ?
 
Hapa mbumbu ni wewe, huko ulaya ambako mfumo huu wa uwekezaji upo tangu mwanzo, mikataba ikoje, je Mo akiondoka ndiyo mwisho wa Dunia, hakuna wawekezaji wengine, hebu ondokeni kizani jamani Dunia ina mwanga hii.
 
Yanga kama ipo bado na malengo, ya kizamani ya kutumika kisiasa ina haki ya kuto badilika.

Ila Simba malengo yao ni kuwa moja ya vilabu vikubwa Africa, badala ya kutumia kauli mbiu za kisiasa timu ya Wananchi, kwani Umeambia Ndanda na Biashara siyo za wananchi.

Endeleeni kwenda na malengo ya kisiasa, sisi tukiwa tunachora kwenye viwanja vyetu touch line, nyie angusheni miembe ili kujifananisha, muonekane nanyi kuna kitu mnakifanya. Sisi tunatangulia mtapokua tayari kutufuata Dunia ya mpira itakua imebadilika.
Igweeeeeeeeee big up mkuu umeongea kwa mifano hai kabisa[emoji120][emoji120]
 
😝😝😝😝😝😝😝
Sisi ndio tunafanya maamuzi mzee hatubahatishi, kila mwanachama wa Simba anamuelewa Mo na Mo haleti idea zake kama individual bali kama kampuni iliyowekeza klabuni.
.
Hao unaosema hawamuelewi nadhani ni mashabiki tu kama wewe hamshiriki kwenye lolote zaidi ya kubaki na status yenu ya ushabiki
 
Uziri ni kuwa huamini usemacho.
 
''Mo ndo kaishikiria simba kama alivyokuwa manji pale yanga! Mo akiondoka simba inakufa kabisaa''
Daaa walah!! Yaani hii sentensi ndo wimbo wa mtaa wa pili, wameishiwa maneno, koo zao zimekauka, hawana la kujitetea, ujinga kwao ndo sehemu ya maisha yao hata uwaeleze utofauti ya uwekezaji wa Mo na ufadhili wa Manji bado hawaelewi.
 
Yanga wakubali kubadilika, na kusema kweli wameshachelewa sana, wasiendelee kuchelewa.Tumekuwa tukisema haya kwa karibu 5 years now lakini watu wanajifichia kwenye historia za miaka ya kugombania uhuru. Dunia imebadilika!!!

Gharama za uendeshaji timu ni kubwa sana, huu sio wakati wa kusajili wachezaji kwa kuwanunulia redio au vitanda. S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…