Hafanyi kazi bure, ila si kwa pesa zile alizokuwa akilipwa Aussems ilihali alikiuka masharti ya mkataba wake wa mwaka mmoja.Kwa hiyo huyo mbadala wake Sven anakuja kufanya kazi bure?
This is Simba brother, sio chura churani, mapato ya Simba ni makubwa makubwa sana kama viongozi wa klabu wakiamua kuyatilia maananiHii kitu ni hesabu ambazo hazina uhalisia my friend.
Tupo hapa tutaona.
Nirushie link nifuatilie mkuu.Alitakiwa kujitoa ama kupunguza kiwango cha mshahara wake nimeshawahi kueleza hili kwa kina humuhumu fatilia.
usiondoke kwanza mzee baba subiri game lipigweKwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama
Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi
Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata kama ni mwekezaji ataogopa madeni ya Yanga
Tunaomba uongozi wa Yanga urudishe bakuli kwa wananchi kuokoa jahazi
Tarehe 4 January nitasafuri nje ya nchi kwa wiki
Sahau alipewa muamala na nyie mngeshuka daraja leo kama red starsWewe acha uongo hatukubebwa tuliwafunga tukaepuka kushuka daraja
Kama mlituachia kwa nini mlipiga Sahau Kambi mpaka keaho yake gazeti maarufu wakati huo likaandika
"SAHAU HATOSAHAU"
6B kwa wachezaji gani..Kashata ambaye Kenya Harambee stars hawamtaki..wale wabrazil wahindi au yule mkongo pengine Shiboub kweli 6B au mnampiga KanjibaiSimba haiendeshwi kwa mfumo wa Manji Comrade au unajisahaulisha?
Manji aliifanya chura churani kuwa dhamana ya mikopo yake kila kitu alikuwa anafanya yeye bila maandishi.
.
Mfano mzuri Simba SC imetenga billion 6+ kwa ajili ya sajili 2019/2020 wakati huo wanajua wataingiza billion 5+ kwenye vyanzo vya mapato mbalimbali vya klabu, na hili linatokea kutokana na timu kuwa na mashindano machache na yasiyo na fedha nyingi.
.
Muwekezaji wetu bwana Dewji anatoa pesa kutoka kwenye ule uwekezaji wake ndani ya klabu ambazo anafanyia biashara na pia anatoa pesa zingine kama shabiki au mwanachama anavyoweza kutoa kusaidia club hivyo ikitokea siku kaondoka kivyovyote Simba itaendelea kuwa under MeTL pamoja na Simba sports club company mpaka itakapoamuliwa vinginevyo!
Mikia mnatoa hela wapi?kwa ajili sportpesa mnapata pungufu ya Yanga labda MO anatoa hela ya familia thats wrongYanga wakubali kubadilika, na kusema kweli wameshachelewa sana, wasiendelee kuchelewa.Tumekuwa tukisema haya kwa karibu 5 years now lakini watu wanajifichia kwenye historia za miaka ya kugombania uhuru. Dunia imebadilika!!!
Gharama za uendeshaji timu ni kubwa sana, huu sio wakati wa kusajili wachezaji kwa kuwanunulia redio au vitanda. S
We kweli king'asti katika wachezaji Shiboub ndio umemuona mchezaji?πππ huyo msimu ujao hatumuhitaji luckily ana mkataba wa mwaka mmoja tu.Kuwa mkwe
6B kwa wachezaji gani..Kashata ambaye Kenya Harambee stars hawamtaki..wale wabrazil wahindi au yule mkongo pengine Shiboub kweli 6B au mnampiga Kanjibai
Nirushie link nifuatilie mkuu.