sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Aziz Ki amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga. Ila kwa sasa imetosha aachwe aende akatafute timu sehemu nyingine anayoona watampa attention kama anayopewa Tanzania.
Ukimtazama uwanjani ni kama anacheza ilimrad kusogeza siku hana ile njaa tunayoijua, ni kama ameshachoka ila hana namna anapoteza mipira kirahisi na hajali, hakabi, apigi yale mashuti yake analaumu tu wenzie kama yeye ni Messi. Akikaa bench anageuka kocha.
Lakini pia amekuwa na dharau na kiburi nje ya uwanja hii nimeiona kwa macho yangu yaani amekuwa supastaa anaona kila mtu ni sisimzii. Watu wanamtumia kutengeneza pesa asije kusahau yeye ni mchezaji wa soka.
Engineer endelea kutafuta mbadala wake japo pia nafasi yake anaweza akaicover Pacome vizuri sana na tusione pengo lolote pembeni kule akabaki Ikangarombo au Wonderkid Mzize kama hawatafika bei next season.