Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kaja bongo kajiopolea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuuma?Eti mchezaji anafunga goli halafu hashangilii, ila Yanga sijui wanajikuta nani?
Mtaendelea kuishia makundi kila siku maana wachezaji wenu wameshajiona wamefika. Ata ndondo wanashangilia magoli, nyie nani banaInakuuma?
Ndio.Acha wivu, yaani umeandika page yote hii kwasababu ya Mobeto?
Japo neno gumu ila nimekuunga mkono waache usiwashtue..Rubbish wasenge nyinyi. Endeleeni kua na matokeo yenu mfukoni march 8. Tutawafira mchana kweupe.
Kafungwa miguu haendi ppt mtapiga kelele nyie mpk mchokeAziz Ki amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga. Ila kwa sasa imetosha aachwe aende akatafute timu sehemu nyingine anayoona watampa attention kama anayopewa Tanzania.
Ukimtazama uwanjani ni kama anacheza ilimrad kusogeza siku hana ile njaa tunayoijua, ni kama ameshachoka ila hana namna anapoteza mipira kirahisi na hajali, hakabi, apigi yale mashuti yake analaumu tu wenzie kama yeye ni Messi. Akikaa bench anageuka kocha.
Lakini pia amekuwa na dharau na kiburi nje ya uwanja hii nimeiona kwa macho yangu yaani amekuwa supastaa anaona kila mtu ni sisimzii. Watu wanamtumia kutengeneza pesa asije kusahau yeye ni mchezaji wa soka.
Engineer endelea kutafuta mbadala wake japo pia nafasi yake anaweza akaicover Pacome vizuri sana na tusione pengo lolote pembeni kule akabaki Ikangarombo au Wonderkid Mzize kama hawatafika bei next season.
AnamchoshaAziz Ki amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga. Ila kwa sasa imetosha aachwe aende akatafute timu sehemu nyingine anayoona watampa attention kama anayopewa Tanzania.