JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Afadhali hewa kwani inakusaidia unaendelea kuishi, wapumbavu wa yanga kupitioa gsm ndio mmefanya hii ligi kuwa mbovu, si ajabu hata kocha wenu aliyeondoka alilisema hili kwa sababu aliliona mkamjia juu kwa hasira.Uyo jamaa ni hewa,,amna anachokijua zaidi ya mihemko tu,,anabeba anachokisikia kwenye vijiwe vya kahawa anapuyanga kukileta hapa,,Kila kitu kinaenda na evidence yeye kaingia king vile vile na habari zake za kuchota kwenye kahawa kwamba singida inamilikiwa na mwigulu ukimuuliza tuonyeshe ushahidi wa singida kumilikiwa na mwigulu atakwambia nimesikia watu wanasema hivyo🤣