Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

Uyo jamaa ni hewa,,amna anachokijua zaidi ya mihemko tu,,anabeba anachokisikia kwenye vijiwe vya kahawa anapuyanga kukileta hapa,,Kila kitu kinaenda na evidence yeye kaingia king vile vile na habari zake za kuchota kwenye kahawa kwamba singida inamilikiwa na mwigulu ukimuuliza tuonyeshe ushahidi wa singida kumilikiwa na mwigulu atakwambia nimesikia watu wanasema hivyo🤣
Afadhali hewa kwani inakusaidia unaendelea kuishi, wapumbavu wa yanga kupitioa gsm ndio mmefanya hii ligi kuwa mbovu, si ajabu hata kocha wenu aliyeondoka alilisema hili kwa sababu aliliona mkamjia juu kwa hasira.
 
Onyesha jina la Mwigulu kwenye bodi ya wakurugenzi SBS
Tukikwambia wewe ni mbumbumbu unalia
Nilie kwa sababu ya umbumbumbu wako. Eti kuna tofauti ya gsm anyeendesha Yanga na anayedhamini Coastal na timu nyingine, huo si ukichaa tu.
 
NMB na Gsm ni vitu viwili tofauti. Gsm amekabidhiwa Yanga na wananchama aiendeshe ipate mafanikio, kwa hiyo kudhamini klabu nyingine huo ni ufisadi kwani hao anaowadhamini ni wapinzani wa Yanga ambayo yeye kakabishiwa apigania mafanikio yake. Huu wizi upo Tanzania tu. Lete mfano wa kitu hiki kwenye ligi nyingine.
Yanga ukiwapiga vizuri wanakwambia ukweli wote. Kwenye mijadala ya upangaji wa matokeo wanamkana GSM kuwa ni kamwekezaji tu ila uwanjani wanamuimba yeye na siyo SportPesa ambaye ndiyo mdhamini mkuu.

Kuna mjadala juzijuzi nilikuwa nausoma wanakiri kuwa GSM ndiye kila kitu pale utopoloni ila zali likilipuka wanamruka. Wanajua huyo GSM anafanya nini nyuma ya pazia. Wanadhani wanadili na watoto wadogo.

1000050996.jpg

1000050995.jpg
 
View attachment 3243121
View attachment 3243122
Gsm ni mwekezaji kwenye timu Gani? Yanga ashapata mwekezaji kumbe?
 
Mnapoambiwa nyie ni mbumbumbu na amjitambui mnashupaza shingo,,uyo mwekezaji unayemsema ndani ya yanga kapatikana lini na kwenye mkutano Gani?
Hiyo kauli #107 ni kauli yangu ya mwisho kwenye huu mjadala. Nimeshaujadili saaana, rejea post zangu za nyuma kwa majibu ya maswali yako yote.
 
Afadhali hewa kwani inakusaidia unaendelea kuishi, wapumbavu wa yanga kupitioa gsm ndio mmefanya hii ligi kuwa mbovu, si ajabu hata kocha wenu aliyeondoka alilisema hili kwa sababu aliliona mkamjia juu kwa hasira.
Mpumbavu na mbumbumbu ni Bora ya nani? Mbumbumbu aelewi kitu chochote ndio kama wewe, auna hoja bali viroja,,nakwambia taja vifungu vya kisheria alivyovunja gsm kwa kudhamini timu zaidi ya Moja umeshindwa unaleta umbea wa mitaani,,sasa wewe tukuweke kundi Gani? Tabia ya umbea sio nzuri na tunajua uwa ni tabia za wanawake!
 
Hiyo kauli #107 ni kauli yangu ya mwisho kwenye huu mjadala. Nimeshaujadili saaana, rejea post zangu za nyuma kwa majibu ya maswali yako yote.
Wewe ni Bora ukakaa kimya tu maana unajidhalilisha hapa,,kiufupi yanga haijapata mwekezaji,,yanga inae mfadhili wa klabu,,Simba ndio inae mwekezaji usiwe unapotosha watu!
 
Wewe ni Bora ukakaa kimya tu maana unajidhalilisha hapa,,kiufupi yanga haijapata mwekezaji,,yanga inae mdhamini na mfadhili wa klabu,,Simba ndio inae mwekezaji usiwe unapotosha watu!
Ndiyo maana nimeamua kukaa kimya ili wewe mwenye akili utambe humu mitandaoni kwa hoja zako mujarabu. Embu tupe tofauti ya mdhamini na mfadhili ndugu mwenye akili nyingi.
 
Nikishakupa tofauti ndio utajua kwamba yanga Haina mwekezaji?
 
Tupe somo sisi ambao ni mbumbumbu ndugu mwenye akili nyingi. Tofauti ya mdhamini na mfadhili ni nini?
Mdhamini mkuu wa yanga ni sportpesa na mfadhili wa yanga ni gsm,,mfadhili anafadhili shughuli za uendeshaji wa timu kwa namna anavyoguswa,,na mdhamini ni yule aliyeingia makubaliano ya kisheria na klabu kwa mkataba maalum akiwa na nia ya kutangaza biashara zake kupitia klabu husika nadhani umenielewa!
 
Kwa hiyo GSM ni mfadhili au mdhamini?
 
Back
Top Bottom