Yanga muombeni Faisal airudishe hiyo pesa Kwa account yenu vinginevyo mtakosa vyote.

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Huu ndiyo ukweli, bwana mdogo alitimiza Yale yote yaliyopo kwenye mkataba ikiwemo kuilipa kilabu yake kiasi Cha pesa ili aondoke Kama mchezaji huru. Sasa Yanga Kwa panic wameisusa hiyo pesa. Sasa Faisali atalazimika kuitumikia klabu yake mpya bila kujali suala hilo maana yanga ndiyo wamevunja mkataba. Suala la kukiuka tu kipengele Cha mkataba ( ambapo yanga wameisusa pesa hiyo ni ishara ya kuvunja mkataba) Kilabu ya Yanga imejaa makanjanja.
 
Walipofaulu 26 kati ya 638 tulilalamika, kumbe Law school walikuwa sahihi.
 
Sisi wanasimba tuna sema acha inyeshe tuone panapovuja
 
Huo Mkataba umeuona kwa macho yako? Umeusoma clauses zote? Umeelewa?

Au unabwabwaja tu kama ilivyo ada kwa waTZ wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…