Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Huu ndiyo ukweli, bwana mdogo alitimiza Yale yote yaliyopo kwenye mkataba ikiwemo kuilipa kilabu yake kiasi Cha pesa ili aondoke Kama mchezaji huru. Sasa Yanga Kwa panic wameisusa hiyo pesa. Sasa Faisali atalazimika kuitumikia klabu yake mpya bila kujali suala hilo maana yanga ndiyo wamevunja mkataba. Suala la kukiuka tu kipengele Cha mkataba ( ambapo yanga wameisusa pesa hiyo ni ishara ya kuvunja mkataba) Kilabu ya Yanga imejaa makanjanja.