Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anafika robo fainali anadhalilisha vp taifaTusianze ramli, tuzungumzia ambao tayari walilidhalilisha taifa.
Mkuu Pdidy mbona sikumbuki kuwepo kwa vigezo vinavyopunguza points?! Tanzania tulikuwa na points 18, na kuna wakati hapa nilifanya analysis kama hii ya kwako, nikaona nchi zote ambazo zingetamani kuingi kwenye Top 12 ambayo sisi tulifunga, hakuna hata moja inayoweza kufikisha Points 18 kwa kuangalia ufanisi wa timu zao kwenye Club Bingwa na CAF Confederation!!Upo uwezekano mkubwa kwa Tanzania kupata nafasi nne za uwakilishi kwenye michuano ya vilabu barani Afrika (CAF CL na CC) kutokana na uwezekano wa Libya kuondolewa kwenye michuano hiyo baada ya kukosa sifa kwa kuwa hawakuendesha ligi yao kutokana na changamoto za kiusalama
Soma sio tetezi MH Karia kakiri KUONA HILO web ya caf anasubiri barua na taarifaa..Cheki Mivyura Inavyorukaruka Kwa Furaha Wakati Bado Nitetesi Tu, Mnapenda Vya Dezo Nyie, Utopolofour, Mtapakatwa Tu.
mwaka huu nyie si mlipigwa kidole na wale wamakonde kwenye raundi ya kwanza tuu, mkatuacha sisi tukiendelea kuwakilisha taifa, sasa sijui aliye tia aibu ni nanai apo na mwakani kitacho wakuta ni aibu tupu……….mpaka mnaingia ni sisi tumewabeba ila uwanjani hamna uwezo na hata mkiingia huko bado mtatuaibisha lazima mkubali Simba baba lao
Habari ya mjini ni 4g we jiandae kushabikia timu za nje sasa hivi kimataifa unategemea mbeleko ya Simba vinginevyo utakuwa unasikia kwenye bombamwaka huu nyie si mlipigwa kidole na wale wamakonde kwenye raundi ya kwanza tuu, mkatuacha sisi tukiendelea kuwakilisha taifa, sasa sijui aliye tia aibu ni nanai apo na mwakani kitacho wakuta ni aibu tupu……….
Simba walikuwa hawaamini gemu imeisha bila kupigwa mkono, michuano iliyopita mlitoka round ya kwanza tu, huku Yanga akiendelea kukiwasha.Tutegemee aibu ya mwaka watu Wana Yikpe unaenda kushiriki michuano ya kimataifa ugenini unapigwa 9 na nyumbani unakula za uso 6
Subirini mbeleko hamna timu siku ile tuliwakosa wiki mmebaki kutafuta sababuSimba walikuwa hawaamini gemu imeisha bila kupigwa mkono, michuano iliyopita mlitoka round ya kwanza tu, huku Yanga akiendelea kukiwasha.
Vipigo 9 vya aibu Yanga vs WaarabuKama wale waliokuwa wanapigwa mkono kila game?