Yanga na Azam kucheza michuano ya kimataifa?

Yanga na Azam kucheza michuano ya kimataifa?

Upo uwezekano mkubwa kwa Tanzania kupata nafasi nne za uwakilishi kwenye michuano ya vilabu barani Afrika (CAF CL na CC) kutokana na uwezekano wa Libya kuondolewa kwenye michuano hiyo baada ya kukosa sifa kwa kuwa hawakuendesha ligi yao kutokana na changamoto za kiusalama
Mkuu Pdidy mbona sikumbuki kuwepo kwa vigezo vinavyopunguza points?! Tanzania tulikuwa na points 18, na kuna wakati hapa nilifanya analysis kama hii ya kwako, nikaona nchi zote ambazo zingetamani kuingi kwenye Top 12 ambayo sisi tulifunga, hakuna hata moja inayoweza kufikisha Points 18 kwa kuangalia ufanisi wa timu zao kwenye Club Bingwa na CAF Confederation!!

What am I missing?! Ina maana orodha mpya ishatolewa?!
 
Cheki Mivyura Inavyorukaruka Kwa Furaha Wakati Bado Nitetesi Tu, Mnapenda Vya Dezo Nyie, Utopolofour, Mtapakatwa Tu.
Soma sio tetezi MH Karia kakiri KUONA HILO web ya caf anasubiri barua na taarifaa..
Ukionna GANDA LA condom kwa mumeo UJUE MTU kashaliwa
 
Ikiwa hivyo ni fursa kubwa kwa klabu zetu kuongeza points zaidi ili kila mwaka tupeleke klabu 4. Wajitahidi walau timu 3 au 2 zifike hatua ya makundi na 1 ifike robo fainali, itakua faida kubwa sana kwa nchi
 
mpaka mnaingia ni sisi tumewabeba ila uwanjani hamna uwezo na hata mkiingia huko bado mtatuaibisha lazima mkubali Simba baba lao
mwaka huu nyie si mlipigwa kidole na wale wamakonde kwenye raundi ya kwanza tuu, mkatuacha sisi tukiendelea kuwakilisha taifa, sasa sijui aliye tia aibu ni nanai apo na mwakani kitacho wakuta ni aibu tupu……….
 
mwaka huu nyie si mlipigwa kidole na wale wamakonde kwenye raundi ya kwanza tuu, mkatuacha sisi tukiendelea kuwakilisha taifa, sasa sijui aliye tia aibu ni nanai apo na mwakani kitacho wakuta ni aibu tupu……….
Habari ya mjini ni 4g we jiandae kushabikia timu za nje sasa hivi kimataifa unategemea mbeleko ya Simba vinginevyo utakuwa unasikia kwenye bomba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Leo wamefanya mpaka Mwakalebela maskini katoa machozi.
Wamemzulia alikuwa Iringa kuwahujumu Yanga kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Lipuli.
Mwenyewe anadai alikwenda kumuuguza mama yake mzazi.
Utopolo wamezoea uzushi imekuwa ugonjwa kwao.Wameanza kurudiana wenyewe kwa wenyewe. Walianza na Mkwasa na Manyika leo wamemuunganisha Mwakalebela. Mpira unachezwa kiwanjani .Visingizio havibadili kitu bali vinazidi kuipoteza Utopolo.
 
Tutegemee aibu ya mwaka watu Wana Yikpe unaenda kushiriki michuano ya kimataifa ugenini unapigwa 9 na nyumbani unakula za uso 6
Simba walikuwa hawaamini gemu imeisha bila kupigwa mkono, michuano iliyopita mlitoka round ya kwanza tu, huku Yanga akiendelea kukiwasha.
 
Back
Top Bottom