Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani?
Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari , mashabiki tunataka kombe la Klabu Bingwa Africa na tunaamini wachezaji wetu wakiamua tunaweza!
Kwanini Kila siku Simba wajisifie kuhusu hilo kuwa sisi hatuna ubavu kucheza Klabu bingwa Africa na tunajua Makolo timu hawana?
Sisi Utopolo tuna Kila kitu, tuna talented and motivated players, tuna uongozi wenye akili Eng Hersi, tuna mashabiki wanaojielewa wanaoshangilia makombe sio kibegi, Sasa shida Iko wapi?
Mwaka huu tunataka Yanga tucheze makundi Klabu bingwa Africa basi kama kombe ni ngumu kulibeba!
Nawasilisha!
Weekend njema wote!