Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

Usijesahau kwamba mwaka huu Hakuna mtelezo kwenda shirikisho. Mkipigwa mnarudi bongo kugawa bahasha.

Uto mnajitoa fahamu Sana.
Kipindi mmekandwa na janweng galaxy mlidondokea huko loser... Hadi mkaenda na kuni za kufanya uchawi huko south lakin bado mlipakatwa...
 
Usijesahau kwamba mwaka huu Hakuna mtelezo kwenda shirikisho. Mkipigwa mnarudi bongo kugawa bahasha.

Uto mnajitoa fahamu Sana.

Hakuna mwana yanga au kiongozi wa yanga ambae halifahamu hili hivyo watalifanyia kaz mungu akijaalia msimu huu watafika makundi na kwenda mbali zaidi kikubwa imani
 
Hakuna mwana yanga au kiongozi wa yanga ambae halifahamu hili hivyo watalifanyia kaz mungu akijaalia msimu huu watafika makundi na kwenda mbali zaidi kikubwa imani
Limewashinda miaka 24
 
Yaliyo pita yashapita tupange yajayo kila siku mambo yanabadilika acha kukalili maisha kisa walifeli wengine na ss tufeli
Failure na pia losers.

Klabu bingwa Utopolo nmeshindwa.

Nakaririje wakati Jana na juzi mlifeli.

Hao wengine Ni kina nani.
 
Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani?

Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari , mashabiki tunataka kombe la Klabu Bingwa Africa na tunaamini wachezaji wetu wakiamua tunaweza!

Kwanini Kila siku Simba wajisifie kuhusu hilo kuwa sisi hatuna ubavu kucheza Klabu bingwa Africa na tunajua Makolo timu hawana?

Sisi Utopolo tuna Kila kitu, tuna talented and motivated players, tuna uongozi wenye akili Eng Hersi, tuna mashabiki wanaojielewa wanaoshangilia makombe sio kibegi, Sasa shida Iko wapi?

Mwaka huu tunataka Yanga tucheze makundi Klabu bingwa Africa basi kama kombe ni ngumu kulibeba!

Nawasilisha!
Weekend njema wote!
Si mshasema nyie malengo yenu ni Makundi klabu bingwa Afrika,kuna nn tena hapo?

Kubwa jinga lina malengo ya chekechea.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eti malengo ya mwaka huu kipimo kisiwe NBC

Utafikiri NBC yenyewe mtaichukua
 
Back
Top Bottom