Tena simba ndio ilitakiwa ilalamike kwenye hili la kucheza kila baada ya siku mbili matokeo yake analalamika YangaMkuuu wewe ungeshinda mechi zako zote hivyo viporo vya mnyamaa vingekuathili nini? .
soma uelewe grounds za posts zangu hapo juu ...budget kubwa ya simba itumiwe in right ways...tunahitaji fairness kwenye ligi tupate ligi bora yenye ushindan itakayotupatia team bora ya taifaSio kazi ya TFF, Bodi ya Ligi au Marefarii kuzijengea uwezo baadhi ya timu kuchukua ubingwa. Uwezo unatokana na maandalizi ya kila timu moja moja, kuanzia usajili hadi training. Kumbuka mlivyokuwa mkibeza bajeti ya bilioni 1.3, mnadhani mambo yanajiendea kwa mazoea tu? Watu wamewekeza, viongozi wa timu hizo za Kagera Sugar na Lipuli pia wakitafuta fedha za kutosha maandalizi kama ya Simba, watatoa ushindani hadi wa kubeba ubingwa, na wala sio ajabu. Mbona Azam amebeba ndoo, tena zote ya Bara na ya Kagame Cup? Kwa kuwa aliwekeza katika usajili na uendeshaji. Yanga ilikuwa inagoma kufanya uchaguzi, sasa nani atawapa malezi wachezaji, kocha? Yaani kocha ameajiriwa uje umtegemee ndio awabembeleze wachezaji wasigome? Yanga mkubali kuwa hamkuwa na kikosi kizuri kama Simba, na hamkuwa na viongozi wazuri kama Simba
Naona amekuteka akili na wewe umetekeka! Akiwa peke yake kabisa mbali kabisa na wachezaji wote, kipa kaenda kuokoa back pass mbali na goli lake karibu na kibendera ili isiwe kona, akaupiga ukatoka nje ukawa wa kurushwa. Yeye kwa ile kasi ya kuuwahi usiwe kona, alipitiliza halafu akiwa nje ya pitch akaendelea kukaa chini huku lango likiwa wazi. Simba wakarusha mpira haraka haraka, ikapigwa ndefu golini, ikaunganishwa kwa kichwa. Kipa kuona ameboronga, akajilaza kabisa eti aliumia. Sasa mchezaji upo nje ya pitch, nani asimamishe game wakati hakuna uhakika kama umeumia au umeona utachelewa kurudi langoni?Au Mpira ukaendelea huku kipa ameumia [emoji23][emoji23][emoji23]. Daah, comedy indeed
refa ndiyo boya..alitakiwa asimamishe mpira angalie mchezaji ana tatizo gan, hii ligi mchezaji atakuja kufa kizembe kwa uboya wa marefa wa usimba na uyangaNaona amekuteka akili na wewe umetekeka! Akiwa peke yake kabisa mbali kabisa na wachezaji wote, kipa kaenda kuokoa back pass mbali na goli lake karibu na kibendera ili isiwe kona, akaupiga ukatoka nje ukawa wa kurushwa. Yeye kwa ile kasi ya kuuwahi usiwe kona, alipitiliza halafu akiwa nje ya pitch akaendelea kukaa chini huku lango likiwa wazi. Simba wakarusha mpira haraka haraka, ikapigwa ndefu golini, ikaunganishwa kwa kichwa. Kipa kuona ameboronga, akajilaza kabisa eti aliumia. Sasa mchezaji upo nje ya pitch, nani asimamishe game wakati hakuna uhakika kama umeumia au umeona utachelewa kurudi langoni?
Acha upuuzi huo na usipotoshe watu....najua we ni shabiki na mwanachama nguri wa yanga thus unaumia simba sports club kuchukua ubingwa mara mbili mfurulizo.Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa
Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.
Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.
Lakini inaweza ikawa ni ujanja wa golikipa kwa kuwa aliona ametoka golinirefa ndiyo boya..alitakiwa asimamishe mpira angalie mchezaji ana tatizo gan, hii ligi mchezaji atakuja kufa kizembe kwa uboya wa marefa wa usimba na uyanga
jiulize kwanini referees waliochezesha matches za yanga walifungiwa...na kwanini wasifungiwe waliochezesha matches za simba?.....hiyo ni evidence tosha ya hayo yote nliyoyaongea hapo juu
Mkuu kwa maelezo yako pia bado mpira hautakiwi kuendelea km alikaa chini unless na ww umekosea kunhadthia maana binafsi sjashuhudiaNaona amekuteka akili na wewe umetekeka! Akiwa peke yake kabisa mbali kabisa na wachezaji wote, kipa kaenda kuokoa back pass mbali na goli lake karibu na kibendera ili isiwe kona, akaupiga ukatoka nje ukawa wa kurushwa. Yeye kwa ile kasi ya kuuwahi usiwe kona, alipitiliza halafu akiwa nje ya pitch akaendelea kukaa chini huku lango likiwa wazi. Simba wakarusha mpira haraka haraka, ikapigwa ndefu golini, ikaunganishwa kwa kichwa. Kipa kuona ameboronga, akajilaza kabisa eti aliumia. Sasa mchezaji upo nje ya pitch, nani asimamishe game wakati hakuna uhakika kama umeumia au umeona utachelewa kurudi langoni?
Unakwepa hoja....Mkuuu wewe ungeshinda mechi zako zote hivyo viporo vya mnyamaa vingekuathili nini? .