Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chris Mugalu aliifunga AsVita kwao 2021Leta rekodi ya timu yako iliambulia nini ugenini
As vita ni timu ya wapi mkuu? Kumbe congo ni uarabuni!!Chris Mugalu aliifunga AsVita kwao 2021
Uwezi kuona point kwakuwa ni miongoni mwa vijana wa mangungu!Sjaona point ya mhimu ni ipi kwan, huu ndio ushabiki mbweha
Usitulazimishe sasa kukubalina na ww..sisi kama wana Simba hatukubaliani na Mazuzu...Ilimbamiza zamalek ndani ya mda Gani? Soma Uzi vizuri ulimtoa zamalek nje ya dk 90 kwa mikwaju ya penalty,,
Kwa penatiKumbe siku za karibuni...
Nilijua hakuna kwny kazi data...
Utajijua mwenyewe sisi tunajua Simba ilimbamiza Zamaleki huko kwao...
Nafikiri umelielewa bandiko linasemaje isipokuwa unajitoa ufahamu,,ndio maana mnaferi sana mitihani
Ni aina gani ya mtihani uliotuwekea hapa jukwaani??Nafikiri umelielewa bandiko linasemaje isipokuwa unajitoa ufahamu,,ndio maana mnaferi sana mitihani
🚮🚮🚮Imewai.......kamusi imegoma kunipa maana ya neno hilo ili iendane na habari ya kitopolo.
Amini usiamini,wewe ni kibaka!Ni Yanga pekee imefanya hivyo kuondoka na ushindi kwenye ardhi ya waarabu Tena kwa swaga!
Iliwachapa Club African ya Tunisia goli 1 kwa mtungi kisha ikawachapa USM Algiers goli 1 kwa mtungi nyumbani kwao Algeria!
Tukumbuke kushinda ugenini ni jambo Moja na kushinda kwenye nchi za kiarabu ni jambo jingine,,ni mtihani kwelikweli kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tunawekana sawa maana Kuna magenge Fulani yanajizima data na kushinda kuelewa kwamba class ni permanent but form is temporary ivyo Yanga isichukuliwe poa poa kwa kuteleza mechi 3 aiondoi class waliyonayo na quality waliyonayo watarudi kwa kishindo hivi KARIBUNI!
Shabiki maandazi huwa hamfikirii bali mnakaririUmesoma Uzi vizuri ama unataka tuendelee kumpa credit Rage?