Yanga ndio klabu pekee kutoka Tanzania imewai kupata ushindi kwenye nchi za kiarabu hivi karibuni ndani ya dk 90 kama ipo nyingine tutajie!

Yanga ndio klabu pekee kutoka Tanzania imewai kupata ushindi kwenye nchi za kiarabu hivi karibuni ndani ya dk 90 kama ipo nyingine tutajie!

Ilimbamiza zamalek ndani ya mda Gani? Soma Uzi vizuri ulimtoa zamalek nje ya dk 90 kwa mikwaju ya penalty,,
Usitulazimishe sasa kukubalina na ww..sisi kama wana Simba hatukubaliani na Mazuzu...
 
Imewai.......kamusi imegoma kunipa maana ya neno hilo ili iendane na habari ya kitopolo.
 
Ni Yanga pekee imefanya hivyo kuondoka na ushindi kwenye ardhi ya waarabu Tena kwa swaga!

Iliwachapa Club African ya Tunisia goli 1 kwa mtungi kisha ikawachapa USM Algiers goli 1 kwa mtungi nyumbani kwao Algeria!

Tukumbuke kushinda ugenini ni jambo Moja na kushinda kwenye nchi za kiarabu ni jambo jingine,,ni mtihani kwelikweli kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!

Tunawekana sawa maana Kuna magenge Fulani yanajizima data na kushinda kuelewa kwamba class ni permanent but form is temporary ivyo Yanga isichukuliwe poa poa kwa kuteleza mechi 3 aiondoi class waliyonayo na quality waliyonayo watarudi kwa kishindo hivi KARIBUNI!
Amini usiamini,wewe ni kibaka!
 
Vichekesho haviishi hii Tanzania
 
Back
Top Bottom