Yanga ndiyo inaikomaza Simba kimataifa bila kujua!

Yanga ndiyo inaikomaza Simba kimataifa bila kujua!

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani lakini ikija Necta mtoto wake chali!

Mara ngapi tunaona kwenye ligi yetu timu ikicheza na Simba inaahidiwa pesa lakini timu hiyo hiyo ikicheza na Yanga hatuoni wakiahidiwa? Umejiuliza zile pesa zinatoka wapi?

Hapo sijgusa ununuzi wa marefa!!
 
Acha upepo uzid kuvuma ili nyeti za bata zionekane
 
Back
Top Bottom