YANGA NDO TIMU ILIOINGIA MAKUNDI KIBABE CAFCL MSIMU HUU

YANGA NDO TIMU ILIOINGIA MAKUNDI KIBABE CAFCL MSIMU HUU

Wewe ni taswira ya watanzania wengi. Ujinga ujuaji, na ufala humohumo.

Huwezi kuwa na akili timamu utoe pesa kwaajili ya magoli wakati shule zinauhaba wa vitendea kazi, Afya za wazee ni tatizo, sekta ya kilimo ni changamoto. Unapeleka pesa kwenye mpira..

Mashabiki wa yanga na simba siku mkipata akili Taifa ..
 
Msimu huu yanga ndo time pekee iliyoingia makundi kibabe na kuionyesha Africa kuwa hakuna mpinzani atakayeweza kuzuia yanga mwaka huu
Ally Hally ya Misri naye Katinga Makundi kwa Aggregate ya goli 7 zidi ya Gorlmahia
 
Kujifanya unafunga magoli mengi wakati kuna wenzako wanauwezo mkubwa kuliko wewe wanafunga magoli kimkakakati ni kufanya kila mechi utakayokutana nayo kuwa ngumu.
 
Msimu huu yanga ndo time pekee iliyoingia makundi kibabe na kuionyesha Africa kuwa hakuna mpinzani atakayeweza kuzuia yanga mwaka huu
Hizi sekunde ulizotumia kuandika hapa, ungeingia LiveScore app ungepata matokeo ya timu zote na sio haya yako ya kutegemea ulichoona AZAMA TV kama vile hakuna ulimwengu mwingine. FUTA KABLA HAWAJATOKA KANISANISA
 
Attachments

  • Screenshot_20240922-094011_1.jpg
    Screenshot_20240922-094011_1.jpg
    265.9 KB · Views: 2
Msimu huu yanga ndo time pekee iliyoingia makundi kibabe na kuionyesha Africa kuwa hakuna mpinzani atakayeweza kuzuia yanga mwaka huu
Halafu yule alieshinda jumla ya goli 12 atasemaje..
Sema mmecheza na timu za ukanda gani!?
 
Kujifanya unafunga magoli mengi wakati kuna wenzako wanauwezo mkubwa kuliko wewe wanafunga magoli kimkakakati ni kufanya kila mechi utakayokutana nayo kuwa ngumu.
Unawashauri wasifunge magoli mengi ili mechi zijazo zisiwe ngumu??
Kocha muoga wewe
 
Back
Top Bottom